Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika. Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM. Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho. Kifo chochote kiwe cha...
26 Reactions
86 Replies
4K Views
Wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mchakato wa kumpata Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
10 Replies
508 Views
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha...
40 Reactions
127 Replies
8K Views
Habari ! Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi. Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa...
38 Reactions
72 Replies
6K Views
.. Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama. Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa...
14 Reactions
65 Replies
2K Views
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu. Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
436 Views
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Umri wa kupiga Kura ni kuanza miaka 18 Sasa mnashangaa nini? Nawatakia Dominica njema 🙏
2 Reactions
30 Replies
861 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
GT. Anasema "Upumbavu ni kuujua ukweli lakini ukakumbatia Uongo" Aha 😄 🤣 😂 wonders shall never End
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana CCM wamefanya mkutano wao wakati huo huo tume ya uchaguzi imeweka wazi ratiba rasmi ya uchaguzi mkuu. Hii inatoa taswira kuwa CCM hawajali lolote lile, kumekuwepo mambo mbalimbali yanao...
1 Reactions
8 Replies
461 Views
Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Samia amejua kuwasuuza wajumbe leo na kuonesha kua anahitaji wajumbe wachache tu, kama 30 tu kukiendesha chama, nyie wengine mtabaki kua waskilizaji from far na kuwawezesha mambo yao yaonekane...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha...
8 Reactions
22 Replies
880 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la...
1 Reactions
5 Replies
429 Views
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Back
Top Bottom