Je ithibati ya waandishi wetu imelenga huku?

Je ithibati ya waandishi wetu imelenga huku?

johnmashilatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
1,220
Reaction score
1,640
Katika wakati ambpo ukimya ilikuwa sahihi na wenye usalama, uliamua kuongea.

Wakati wengine wakijificha nyuma ya nguvu za watawala, ulisimama nyuma ya wananchi.

Ulikumbusha taifa namna uandishi wa habari unavyopaswa kuwa imara, wenye misingi na usioyumbishwa.
 

Attachments

  • Gwvu0whWQAAGp_C.jpeg
    Gwvu0whWQAAGp_C.jpeg
    252.9 KB · Views: 23
Back
Top Bottom