Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

PROF. LIPUMBA KUREJESHA FOMU (NEC) KESHO AGOSTI 25, 2020 JIJINI DODOMA Mgombea urais wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huweishi kesho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO. Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa...
19 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wasalaam wanabodi, Poleni sana na majukumu ya kuijenga nchi yetu pendwa Tanzania. Akiongea na waandishi wa habari, kiongozi wa chama cha ACT-WAZALENDO ndg. Zitto Zuberi Kabwe baada ya kuulizwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal. Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu...
18 Reactions
181 Replies
16K Views
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha...
13 Reactions
107 Replies
9K Views
Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais. Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
25 August 2020 CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi. Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki. Chanzo: ITV habari My take...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa Mgombea wa Urais na Satia Musa kuwa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) NEC imeidhinisha wagombea kutoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU', Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
“Taarifa mbaya tulizopokea muda huu ni kwamba mgombea Udiwani Kata ya Sandari kwenye Jimbo letu la Temeke amevamiwa muda huu, akapigwa mapanga na kunyang'anywa form ya Ugombea. Viongozi wa jimbo...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Mpaka sasa nisha hamasidha Graduate 800 na bado naendelea kuhamasisha haiwezekani tukose ajira huku Serikali inajitapa ina pesa, imenunua ndege kwa cash. Mimi narafiki zangu tunaendela na zoezi...
36 Reactions
97 Replies
6K Views
Back
Top Bottom