Uchaguzi 2020 Mgombea Urais, Mgombea Mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini wateuliwa na NEC

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini.

1598356594833.png
 
Yaani "Chama cha Demokrasia Makini" CHADEMA??😂😂
Ah ah..huyo sio mgombea wetu !
#NiYeye✌
 
Back
Top Bottom