Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zilikuwa ni kauli za kipuuzi kwa muda wake wa kipuuzi. Tunamshukuru Mungu zimekoma kabisa kabisa. Mungu akikupa mamlaka usiyatumie kama fimbo kwa kuwa unao uwezo wa kuyatumia kama fimbo na...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na...
6 Reactions
160 Replies
17K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA...
3 Reactions
85 Replies
16K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe. Dkt Mpango amepiga...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi? 👉...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ADC, Queen Sendiga amemshauri mgombea atakayeshinda kutowaweka kando wagombea wenzake walioshiriki kinyang’anyiro hicho. Mgombea huyo amesema...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Michungwani. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkoa wa Tanga ni moja ya miji mikongwe na yenye kila aina ya rasilimali. Ukiacha ardhi Bora,madini, bahari misitu ya asili mkoa wa Tanga ni maarufu kwa zao la mkonge,licha ya umaarufu wa zao Hilo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Queen Cuthbert Sendiga kesho saa nne kamili katika makao makuu ya chama Buguruni Rozana . Mnakaribishwa wote.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
MGOMBEA urais wa chama cha ADC, Queen Sendiga adai kupigwa makofi na watu wasiojulikana na kuvunjiwa kioo cha gari lake akiwa katika maeneo ya stendi kuu ya zamani ya Manispaa ya Iringa kuendelea...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha ADC, Queen Sendiga amemshauri mgombea atakayeshinda kutowaweka kando wagombea wenzake walioshiriki kinyang’anyiro hicho. Mgombea huyo amesema Serikali...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura katika Kituo cha Ununio jijini Dar es Salaam ambapo amesema amejiandaa kwa namna yeyote. Amesema, "Nikishinda...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga ameendelea leo na Kampeni zake baada ya siku tatu za mapumziko ambazo alizitumia kufanya media tour jijini Dar es...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao...
63 Reactions
767 Replies
68K Views
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa. Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama...
14 Reactions
126 Replies
14K Views
Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limesema limejipanga kwa vizuri kwa wale wote watakaokuwa na nia ovu ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kampeni za Vyama mbalimbali za Siasa. Akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi. Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Benki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa...
27 Reactions
304 Replies
31K Views
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura. TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya...
3 Reactions
65 Replies
9K Views
Salaam Wakuu, Leo chama cha cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) , kinazindua Kampeni zake Manzese Dar Es Salaam. Leo Asubuhi Mgombea Urais wa CHAUMA aliwalalamikia TAKUKURU kwa kumzua kupika Ubwabwa...
10 Reactions
35 Replies
7K Views
Back
Top Bottom