Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uasi una maana gani au tafsiri ipi?
4 Reactions
8 Replies
163 Views
  • Featured
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha...
8 Reactions
83 Replies
2K Views
Habari za uzee wako: Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho...
4 Reactions
7 Replies
248 Views
Kuna jambo ambalo tunapaswa kulisema kwa uwazi kabisa bila kuficha ukweli. Inasikitisha kuona uongozi wa juu wa nchi ukipambana usiku na mchana kutafuta suluhisho la matatizo ya wananchi Rais...
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amewahakikishia Watanzania na viongozi wa kitaifa kuwa chama hicho kinasimama kidete nyuma ya Rais wa Jamhuri ya...
8 Reactions
44 Replies
595 Views
Kauli hiyo ya kipumbavu, kijuha na kishetani imetolewa na Mwenyekiti wa ccm Mkoa huo Na kwamba wanaomba msamaha kwa Rais huyo kutokana na yote magumu aliyokutana nayo katika kipindi chote...
16 Reactions
66 Replies
1K Views
Malisa amesema; 1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai 2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi 3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha...
36 Reactions
168 Replies
2K Views
Watanzania hakika tunafurahia sana kuona jinsi mnavyopambana bila kukata tamaa mungu aendelee kusimama na nyie katika kila jambo Hakika hii ndo chadema ambayo nilikuwa natamani itokee siku zote...
7 Reactions
21 Replies
179 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Oddo Mwisho, amesema CCM haijakurupuka kufanya maamuzi ya kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
16 Replies
402 Views
Na Cde Shaka Hamdu Shaka Jumatano, Agosti 26, 2026 ilikuwa siku ya kihistoria. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya maamuzi magumu yenye kubeba maslahi mapana ya Taifa letu. Maamuzi hayo...
1 Reactions
17 Replies
360 Views
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa...
27 Reactions
25 Replies
581 Views
Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣 Hii nchi ina watu wapumbavu...
13 Reactions
21 Replies
802 Views
14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities...
4 Reactions
8 Replies
123 Views
  • Featured
Godlisten Elisante Malisa amesema ameachiwa huru na Jeshi la Polisi leo asubuhi bila kudhaminiwa, akikanusha taarifa kwamba aliachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kuhusu tuhuma za jinai. Malisa...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
  • Featured
Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
18 Reactions
277 Replies
11K Views
KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu...
16 Reactions
259 Replies
8K Views
  • Redirect
Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, Mhe. John Mnyika, leo atamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri
3 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni halali kabisa CHADEMA kupoteza muelekeo na kukosa Msisimko wa hoja na sera pamoja na ajenda zenye Kugusa Mioyo ya watu. Chama kwa sasa kimejaa watu wenye akili ndogo...
4 Reactions
67 Replies
864 Views
  • Redirect
Safi sana Mange! You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times. And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta. Hii publicity si...
62 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…