Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jerome wa CCM ameshinda kwa kishindo kwa kura 24000+
0 Reactions
0 Replies
1K Views
matokeo rasmi ni kuwa CCM -34839 hivyo Dickson ndo mbunge Chadema-16090
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje Kichwa kama Tindu Lisu Freman Mbowe Halma Mdee Myika Thomas Nyimbo Lema na babu mrema na vingine kibao.... Huyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona tbc hamsomi upepo?naona mnatangaza tu sehemu ambazo mabosi wenu wameshinda.mnaogelea kinyume na mkondo wa maji shauri yako tido mhando soma wakati ukutani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Matokeo yanasomwa kitaifa na Lewis Makame
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba katika post hii tutaje tu wagombea waliokwisha dhibitishwa na TUME(Wakurugenzi)tuachane na masuala ya matokeo ya awali tutaje waliotanagzwa tu ili tujue tunao wabunge wangapi mkononi at the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf, Kama mkiangalia kwa undani CCM wako very strategic kuchakachua matokeo. Wameanzisha fujo Temeke, Kigoma Mwanza na Tarime makusudi. Lengo ni kuwafanya watu wakoncentrate sehemu zenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati matokeo yanaendelea NAWAOMBA WAPENZI WA CHADEMA KUWA WATULIVU. fUJO HAITABADILI MATOKEO. tAFADHALI, TAFADHALI UTULIVU NDIO NO 1.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa Arusha Mshindi ametangazwa kuwa Lema but the radios are claiming kwamba kuna jimbo la terat lilisahaulika thus Batilda wins. Any one with more on this please.......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikiliza redio one hapa ofisini wanarusha vurugu zinazotokea hopo temeke aliye karibu atuhabarishe
0 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
Hbari za uhakika kutoka maswa zinasema kuwa mpaka sasa Tume wameshindwa kutangaza matokeo kwani maswa magharibi na Mashariki yaani kwa SHIBUDA NA KASULUMBAYI - CCM wamepigwa sana, nahisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa wale ambao tumechoshwa na ufisadi, hivyo napata faraja kubwa sana ninapoona haya matokeo yanayotolewa hapa kuwa mafisadi wanaelekea kupigwa chini. Lakini sasa napatwa na wasiwasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
vipi kuhusu majibu ya huku sumve-mwanza?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani inakuwaje shinyanga huko, nasiki kuna jimbo ambalo watu wasio julikana wamechoma masanduku 7 ya kura.MUNALICHUKULIAJE HILI WANGWANA?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHADEMA imemfanya kitu mbaya Batilda, Pole mama...........
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jenister Mhagama wa CCM kamshinda mgombea wa CUF
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kweli hawa ccm ndo wanatupeleka huko? wawape raia haki yao.Viongozi kama hawa hawatufai kabisa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…