Hizo habari mmezihakiki kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizo habari mmezihakiki kweli?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtambuzi tamba, Nov 1, 2010.

 1. m

  mtambuzi tamba New Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja wa wale ambao tumechoshwa na ufisadi, hivyo napata faraja kubwa sana ninapoona haya matokeo yanayotolewa hapa kuwa mafisadi wanaelekea kupigwa chini. Lakini sasa napatwa na wasiwasi kama hizi habari ni sahihi au ni ushabiki tu wa kisiasa? Kwani naona kama matokeo yanataka kuja kinyume, jamani mnapoandika hizo habari mhakikishe mmezifanyia uhakiki wa kutosha, ili muweze kutupa data zilizo sahihi hasa sisi tuliyopo nje ya nchi.
   
Loading...