Batilda kafanywa kitu mbaya!!


FarLeftist

FarLeftist

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
362
Likes
9
Points
0
FarLeftist

FarLeftist

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
362 9 0
CHADEMA imemfanya kitu mbaya Batilda, Pole mama...........
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,943
Likes
9,443
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,943 9,443 280
zao la kampeni za chuki na kugawanya watu za udini na ukabila mara ohoo wachagga wana ubaguzi! mara ohoo maaskofu mara ohoo kimepanda mara kikashuka badala ya kuuza sera! hebu tujiulize hilo jimbo Makongoro hakuwahi kuliongoza kama kuna uchagga factor? au kukosa sera? Pole sana mama!
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,446
Likes
396
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,446 396 180
Natamani anizalie mtoto nimwite BAMBUCHA
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
351
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 351 180
Namsubiri MWANA JF NGONGO aje kusema saundi zake!
Naona leo yuko kimya sana!
Lakini kwavile napajua grosari kwake namfuata sasa hivi!
 
Kachanchabuseta

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Messages
7,283
Likes
20
Points
135
Kachanchabuseta

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2010
7,283 20 135
Mkuu naona umechakachua hadi Avatar yangu
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
4
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 4 145
HA HA HA HA matilda si alisema wanaume wa arusha sijui nini........
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,056
Likes
1,424
Points
280
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,056 1,424 280
Wela wela wela kalee mama Buriani!!!
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
800
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 800 280
Namsubiri MWANA JF NGONGO aje kusema saundi zake!
Naona leo yuko kimya sana!
Lakini kwavile napajua grosari kwake namfuata sasa hivi!
Leo sidhani ataonekana ama ataingia kwa machale kama Maralia sugu
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
39
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 39 145
Namsubiri MWANA JF NGONGO aje kusema saundi zake!
Naona leo yuko kimya sana!
Lakini kwavile napajua grosari kwake namfuata sasa hivi!
Wmekosa ujasiri au wamejipanga kutafuta visingizio? Maana mambo yanavykwenda...
 
Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,305
Likes
8
Points
0
Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,305 8 0
Si alisema hajapata mwanaume wa kumchumbia Arusha! Sasa anaweza kuthibitisha usemi wake....Yupo mwanaume au la? Atujibu!
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,401
Likes
486
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,401 486 180
Wapi MS
Naona Habari leo wamekuwa na kichwa cha habari cha kistaarabu
 
PayGod

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
1,260
Likes
6
Points
135
PayGod

PayGod

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
1,260 6 135
akizaa mtoto amwite godbless
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
705,043
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 705,043 280
Tatizo la huyu mama Batilda ni kuwa aliotesha kibanda bungeni kwa miaka kumi na alitumia muda wake mwingi kujijenga kwa ngazi za juu kwa maana ya kupata vyeo serikalini.

Hilo alifanikiwa lakini akasahau kuwa hata hao aliokuwa akiwatumikia na kuwasujudia wapo ndani ya ajira ya mpigakura............

Alijaribu kubadilisha hoja za uchaguzi kwa kuingiza udini, ukabila na kuwasaga wanaumme wa hapa Arusha lakini wapigakura wa hapa Arusha tulikuwa na swali moja tu.......................HIVI MIAKA KUMI BUNGENI UMEFANYA NINI?
JIBU LILIKUWA NI KIGUGUMIZI....................................nasi tulipata kigugumizi kumrudisha bungeni mtu asiye na tija hata chembe zaidi ya kulinda ugali wake tu.......................
 

Forum statistics

Threads 1,249,422
Members 480,661
Posts 29,697,798