Wana JF tafadhali leteni habari zilizothibitishwa--hadi sasa ni mcahngamano tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF tafadhali leteni habari zilizothibitishwa--hadi sasa ni mcahngamano tu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by abbasum, Nov 1, 2010.

 1. a

  abbasum Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
   
 2. k

  king ndeshi Senior Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ntaangalia
   
 3. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizozipata hapa niko kwenye na simu kutoka ARUSHA ni kwamba hvi sasa naongea na mtu kutoka Arusha ni kwamba chadema imeshinda, Rstam Azizi chini igunga, chenge chini, arumeru magharibi chadema kapigwa chini wa ccm, mama kilango chini, masha chini, manispaa ya Arusha mjini-udiwani majimbo 14 yote chadema,
   
 4. a

  abbasum Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zimethibitishwa hizo...?
   
 5. N

  Nampula JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunalalamik kuhuu nec kuchakachua matokeo lkn hata na hizi habari za humu jf nazo zinachakachuliwa
   
 6. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Tafadhari leteni habari za uhakika si za kubahatisha, mnatuchanganya! Hivi hakuna mtu wa kutupa habari sahihi kuhsu hayo majimbo mliyotaja?
   
Loading...