Chonde, Chonde, Nawaombeni utulivu!!!!!


Z

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
2,396
Likes
265
Points
180
Z

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
2,396 265 180
Wakati matokeo yanaendelea NAWAOMBA WAPENZI WA CHADEMA KUWA WATULIVU.

fUJO HAITABADILI MATOKEO.

tAFADHALI, TAFADHALI UTULIVU NDIO NO 1.
 
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,869
Likes
155
Points
160
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,869 155 160
Waaambie ndugu zako kwanza ccm uwizi hautawapeleka popote! MAJAMBAZI WAKUBWA NYIE WAPENI CHADEMA KILICHOCHAO,KWANINI MTAKE KUMWAGA DAMU! NA HUKUMU IJUU YENU CCM KWA WIZI WENU!
 
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,383
Likes
139
Points
160
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,383 139 160
kawambie wenzio huko pemba!!
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,233
Likes
7,068
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,233 7,068 280
Mbona nyie hamtulii?...JK anafanya nini Mwanza?:nono:
 
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,106
Likes
50
Points
145
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,106 50 145
Wakati matokeo yanaendelea NAWAOMBA WAPENZI WA CHADEMA KUWA WATULIVU.

fUJO HAITABADILI MATOKEO.

tAFADHALI, TAFADHALI UTULIVU NDIO NO 1.
Hebu kuwa unatumia hekima saa zengine kwa kukaa kimya. Hivi wewe unadhani ukiibiwa ndani ya nyumbani kwako utayasema maneno haya kwamba ni matokeo ya mungu ukubali tu. Ni ushauri wa bure tu.
 

Forum statistics

Threads 1,250,761
Members 481,468
Posts 29,744,001