Bunge la kipindi hiki litatisha!!.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la kipindi hiki litatisha!!....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chokambayaa, Nov 1, 2010.

 1. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
  Kichwa kama Tindu Lisu
  Freman Mbowe
  Halma Mdee
  Myika
  Thomas Nyimbo
  Lema
  na babu mrema na vingine kibao....
  Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!
   
 2. i

  igoji Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umemsahau Prof; Mlambiti, Regia mtema, Sugu, Kafulila, Steve nyerere etc.
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Spika ajiandae vyema la sivyo, watampasua kichwa.
   
 4. k

  king ndeshi Senior Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado bado bado
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,752
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  ndo maana ccm wanataka kuchakachua ili waendelee na ujinga wao!
   
 6. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  Mkuu Thomasi nyimbo hajapita ila kuna kichwa matata sana kinaitwa Mchungaji msigwa wa iringa mjini kwa CHADEMA nae ni noma
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Thubutu!! mwaka huu hakyanani hatukubali.
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Arumemeru nako CHADEMA waliweka kichwa cha kufa mtu, sijui matokeo yakoje mpaka sasa!
   
 9. L

  Lugendo13 New Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umemsahau Zitto Kabwe
   
Loading...