Kwa matokeo ya vituo vya chuo kikuu, REDET ni genge la wahuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa matokeo ya vituo vya chuo kikuu, REDET ni genge la wahuni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Johnsecond, Nov 1, 2010.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni. Baada ya kuona matokeo nikasema kumbe REDET ni genge la wahuni linaloongozwa na muhuni aliyepata elimu kihuni bensen bana?
   
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ni kweli yamewaumbua sana yale matokeo,
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,594
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  REDET ni genge la waganga njaa tu, ila aibu imewafika
   
 4. m

  matawi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wahuni waliopata kusoma bure kuanzia primary hadi chuo kikuu mpaka mafuta ya kujipaka ya shanti walikuwa wanagawiwa bure. Shame on Bana kuwa msaliti

   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawakufanya utafiti bali walitoa matokeo ndio maana mambo yamegeuka
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naona sasa hivi amekuwa bunsen burner
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Msomi asiye na akili!
  Utafiri wa kuunga na plasta haufui dafu mbele ya ukweli!
  Na mwaka 2015 ni ushindi wa tsunami!
  Tangu lini MUNGU akasimama na wenye hila?
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hahaha REDET oye
  ccm oye
  CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kila siku najiuliza kama Professor anakuwa na njaa kali kiasi cha kupotosha uma ili kujikomba kwa viongozi, kwa kufanya utafiti feki.Wanawezaje kufundisha vijana wanaoweza kujiamini,kujiheshimu na kulinda taaluma zao. Principally mtu kama prof Bana hafai kufundisha chuo kikuu tena.
   
 10. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wasomi wa ukweli chuo kikuu wamemdhihirishiaezea kuwa yeye sio wa kundi hilo. Vipesa vidogo vidogo vinampotezea utu wake? angekuwa binti je? si angesema ana challenge nyingi ndo maana ana watoto tisa kabla ya ndoa.
   
 11. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Isituume sana maana walimu wa ukweli wametoa picha, sipendi hata kuiona sura yake kwenye runinga.
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na synovate? Genge la...
   
 13. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hao nao wameibuka tu, mimi nasema redet kwa sababu ipo mahali nyeti, ile university ina watu muhimu saana na wanaochangia kwenye maendeleo ya nchi. hivyo hao wengine najua ni njaa zao sikutaka taswira ya UDSM iwe mbovu
   
 14. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  INAWEZEKANA HATA PhD ya Bana nayo ni ya kuchakachua,Shame on him.
   
 15. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Hao redet ni feki tu!!
   
 16. r

  realtz7 Senior Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hali halisi hata vituo vya pale mitaa ya IKULU JK kaangushwa, mitaa ya usalama wa taifa kijitonyama, mikocheni kule home kwa JK koote kashinda Chadema! hapo imekaaaje? redet na synovate hawakuwahoji hao watu wa karibu na JK pia?
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni kikundi cha wasanii na kazi yao kubwa ni kusherehesha tu!!!
   
Loading...