Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo...
Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili Send to a friend Monday, 01 November 2010 17:41 0diggsdigg
Suzy Butondo, Shinyanga
MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu...
Kuna Taarifa kuwa Magu Mjini mabomu yameanza kupigwa huko Magu baada ya kucheleweshwa kwa matokeo, vulugu zilizuka kutokana na watu kuhisi walikuwa wakipanga namna na kuchakachua matokeo kwa vile...
Taarifa zilizopatikana hapa tabata (Kimanga mwisho) zimesema kuwa Makongolo amenaswa na polisi hapa Tabata na anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi. Tuendelee kufuatilia zaidi.
Tension mounts in Tanzania over delayed poll result
By Fumbuka Ng'wanakilala
Mon Nov 1, 2010 5:41pm GMT
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian police used teargas to disperse opposition...
Shimbo aliviasa vyama kukubali matokeo. Sehemu nyingi sasa CCM wanayakataa matokeo na hata kuyachakachua. Amekaa kimya kana kwamba amesahau kuwa alitoa kauli kali, tena akiwa amekunja uso na...
Nimetokezwa kuwa wakati wananchi wakiwa na kiu ya matokea ya uchaguzi hasa jimbo la MBEYA MJINI, Mh. Lowasa na Makamba wako hapo mjini na polisi wanazidi kupiga mabomu kutawanya watu wenye KIU ya...
Surprisingly the world has come across the first world ever democratic revolution whereby corrupt leaders are shreaded into the dust bin. International correspondents and observers fail to get a...
1) Kituo Cha Bwawani-Unguja
Maalaim seif CUF 593
Dr Shein CCM 141
Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani...
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount
kabla ya hapo mbunge alikuwa Ally(Chadema), kwa ushindi wa kura 450
baada ya recount Mbungev wakachakachua matokeo ikawa CCM kwa...
Wana JF nimepata habari kwa ndugu yangu aliyeko Mwanza kuwa watu wenye hasira wamechoma moto ofisi ya ccm na shule moja wapo, kisa kucheleweshwa kwa matokeo, ama kuchakachuliwa. Watu wa Mwanza...
Jana Taifa letu lilipitia hatua muhimu kabisa ambapo wananchi walifanya maamuzi ya kuchagua viongozi wao. Kuna mambo kadhaa yaliyonikera na yote yanatokana na utendaji mbovu wa Tume ya uchaguzi...
KATIKA historia ya chaguzi zote, mikoa yenye idadi kubwa ya watu ya Kanda ya ziwa, kanda ya Nyanda za Juu kusini na mkoa wa Dar es Salaam ndipo ambako chama tawala kimekua kikipata ushindi wa...