Dar vipi mbona kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar vipi mbona kimya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Challenger M, Nov 1, 2010.

 1. C

  Challenger M Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani mbona hatupati matokeo ya Dar hasa Ilala kimyaaa wenzetu Zenj wameshamaliza. Au wanataka kuvuruga amani:A S cry::A S cry:
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wameshamaliza Kazi zenji sasa CCM wanahamia Bara
   
 3. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :tape:Jamani Temeke sijasikia kulikoni?
  au wanaendelea na maandalizi ya uchakachuaji????
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Dar hakuna hata jimbo moja ambalo tumetangaziwa matokeo rasmi, ukiacha diwani wa Mwananymala na Tandika
   
Loading...