Inatupasa watanzania tuamue na tuwe wakweli juu ya haya yaliyo tokea kwa miaka mitano Mara tu baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa kweli mambo ya kikatili dhidi ya watanzania wenzetu.
1: wameuwawa.
2...
UTANGULIZI
Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa...
Ni ajabu ya mwaka.. Ndege ya Rais ( Kibali cha Rais) kuchoma mafuta kwa ajili ya uzinduzi wa chama cha mapinduzi.
Mnapo ambiwa muwe mnasikia. Nchi hii unaelekea kubaya.
---
Air Tanzania...
Leo nimefurahishwa Lissu kaongea huku ametulia tena kawa mpole, naona keshasoma upepo.
Katika hotuba yake naomba nichambue kidogo maelezo yake, kimsingi hayo aliyoyaelezea yaliwahi kutekelezwa na...
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Cuf-chama cha wananchi
Usilalamike, chukua hatua.
Changia CUF, changia ushindi
Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu...
Nimekuwepo tangu uchaguzi wa 1995 , nimejaribu Ku review chaguzi zote kuanzia hapo na zilizo fuatasijawahi kuona upuuzi unaofanywa na tume awamu hii wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani na...
Nianze mada yangu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1) nayo inasema hivi "Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta...
Ni kawaida kwa watia nia wa ubunge na udiwani ambao hawakuteuliwa kuitwa majimboni kusaidia kampeni za wagombea wa CCM kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.
Baadhi wameitikia wito huu. Kimbembe sasa...
Nimefurahishwa sana na sera ya Chadema ya, uhuru, haki, na maendeleo. Ila binafsi ningependa kama ingeweza kusomeka, kuondoa udikteta, kuleta haki, na uhuru. Udikteta, kukosekana kwa haki na...
Ilani ya Chama cha Mapinduzi naamini imeandikwa kwa maelekezo ya mtu au kikundi cha mtu akareflect kile anachokiwaza na siyo kile Watanzania wanataka.
Ilani ya CCM haina muda na maisha ya...
29 Agosti 2020
Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa...
Kama tangazo linavyojionesha hapo chini, sijui wakurugenzi wengine wanasubiri nini kufuata mfano wake.
Inapendeza sana kiongozi kuwa na maamuzi yake kama alivyofanya huyu Mkurugenzi, watu wa aina...
Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha
Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa...
Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima...
Wazee wa kimila jamii ya kimasai (Laiguanani) katika jimbo la Vunjo wilayani Moshi wamemweka mgombea wa ubunge jimbo hilo Dkt. Charles Stephen Kimei na kumsimika kuwa ndiye 'Simba wa Vunjo' kwa...
CUF NI CHAMA CHA WANANCHI KINATEGEMEA WANANCHI WENYEWE TUCHANGIE CHAMA CHETU TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA TUTASHINDA
#HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof...
Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe...
Amani iwe nanyi wadau,
Kama mnavyojua watanzania, kampeni zimeanza rasmi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu. Vyama Vikuu vinavyoshindana mwaka huu kwa Upande wa Tanzania bara ni Chadema na CCM na upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.