Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kushangaa, jana Jackson Kangoye alimuita Michael Kembaki na kumpa masharti ya yeye kumuunga mkono katika uchaguzi mkuu ngazi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini. Jackson alimpa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu Viongozi na wanachama wote wa CDM bila kupoteza Muda naomba niwape ujumbe wangu huu kwa leo; "Ni dhahili na ukweli usiopingika kuwa idadi ya Watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
TATHMINI YANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 10:15am 30/08/2020 Vyama vya siasa nchini Tanzania vimeanza safari ya kampeni kutangaza sera kwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii. Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
UCHAMBUZI WANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 12:50hrs 30/08/2020 Miaka yote ya uchaguzi Mkuu,Wapinzani walitambaa na kashfa za ufisadi kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020. Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja...
21 Reactions
73 Replies
7K Views
Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukubali usikubali lakini huu ndo ukweli wenyewe kuwa hakuna kitu kigumu kwenye maisha ya binadamu kama kulipa gharama za matibabu (kuuguliwa) Kwa kweli gharama za matibabu Tanzania zipo juu sana...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu. Kwa wale ambao tunajua jinsi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu. Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kufungua kampeni jana nimemshuhudia mgombea kupitia CCM John Pombe Magufuli akiwa mtulivu na mnyenyekevu sana.Pia kwa mara ya kwanza kwa muda wote wa hotuba yake alikuwa akitumia “tuaomba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye. Amedai pia, ACT...
12 Reactions
177 Replies
16K Views
Wanachokifanya naona Kama mahubiri tu! Tushazoea ahadi zao kila siku ahadi ahadi ila hawana mstakabari wa ujibuji "KIVIPI?" Kila atakae mwaga ahadi ama sera zake ajibu atafanya hivyo kivipi...
1 Reactions
2 Replies
694 Views
UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi...
3 Reactions
87 Replies
10K Views
Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini. Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 umeanza. Je, tunahitaji Vyombo vya Habari vyenye sifa zipi wakati tukiingia kwenye kampeni hizi? Nimeorodhesha hapa chini matarajio 7 ambayo...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kilichotokea leo ni wazi kuwa CHADEMA hawajajiandaa, hawakujipanga, hawakufanya maandalizi na wala hawana matarajio na matumaini ya ushindi, wameanza wakiwa wamekata tamaa na wametangaza...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili halina ubishi wowote kuwa CHADEMA mnajifaragua kushiriki uchaguzi ili kuua soo. Lakini ukweli ni kwamba mnajua mnapigwa kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura. Na baada ya kutambua haya...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa...
113 Reactions
189 Replies
21K Views
Back
Top Bottom