Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Hili halina ubishi wowote kuwa
CHADEMA mnajifaragua kushiriki uchaguzi ili kuua soo. Lakini ukweli ni kwamba mnajua mnapigwa kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura.
Na baada ya kutambua haya mmebaki kuwa watu wa kujiliza kama mtoto anayelilia toy ili hali anajua wazazi wake hawana uwezo wa kununua. Nasema hivi sababu mnatambua fika wananchi hawana mvuto tena na chama chenu na hamkubaliki. Na sasa mmebaki.kuwa watu wa kuibua visingizio kuwa NEC inawaonea, mara Tbc wanawabania.
Kama msimamizi wa uchaguzi amemuengua mgombea wenu mtupatie sababu alizotoa na kama kuna uwezekano mfuate taratibu na kukata rufaaa. Lakini msitutishe na kutueleza eti NEC wanahatalisha amani.
Sasa hivi mmeanza kuongea pumba za kipuuzi ambazo zinawashushia heshima na kama mnabusara msinngeshiriki huu uchaguzi kabisa. Mgombea wenu anatia aibu kusema anaona barabara zinajengwa na anakubali ni barabara za kiwango kama alikokuwa anakaa Ubelgiji,lakini anasema kuna watu walibomolewa nyumba zao kupisha ujenzi na sasa wanakaa mbali na mji. Sasa yeye kama mwanasheria hajui kuwa walikuwa kwenye hifadhi ya barabara?
Anasema atawalipa fidia waliofukuzwa kwa kufoji vyeti. Yaani mnataka kutuambia anasapoti watu kufanya makosa ya jinai. Tena ambayo yapo wazi?
Kwa ufupi tu ni kuwa mwaka huu ni uchaguzi ambao CCM inaenda kushinda kwa ulaini sana. Na hii ni sababu upinzani umekosa credibility ya kuikosoa CCM. Maana hamna cha kuikosoa mkisimama majukwaani zaidi ya kulalama na kutoa tuhuma za kizushi.
Kama kudai NEC wanataka kuhatarisha amani na kutaka kuwaingiza watanzania mkenge ili wajiingize kwenye ghasia zisizo na kichwa wala miguu.
Bahati nzuri watanzania wameshawajua na wanawasikiliza kwa umakini na hamna atayefuata ushauri wa kipuuzi mnaoutoa.