Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka...
1 Reactions
34 Replies
912 Views
Ndugu zangu, Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga vijijini, mji mdogo wa Laela Jimbo la Kwela lililokuwa...
7 Reactions
98 Replies
5K Views
Wakuu, Awali April 10, 2025 walitangaza mchakato huo ungeanza Mei Mosi mpaka Mei 15 ambako ingechukua siku 15 kwa wagombea kuchukua na kurudisha fomu lakini sasa itakuwa ni siku 15 pekee ambako...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki...
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu? Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni...
2 Reactions
18 Replies
823 Views
Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha Baada ya kikao cha CCM...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alijulikana na kuheshimika kwa tabia yake ya kuji utu. Mwalimu aliheshimu utu wa binadamu wengine kwa kiwango cha Hali ya juu Sana. Hapa anatoa hoja muhimu Sana...
2 Reactions
7 Replies
352 Views
Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa 1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. " Gwajima aaliletwa ila kwa...
2 Reactions
15 Replies
596 Views
Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro. Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
23 Reactions
45 Replies
2K Views
Ni sawa tu na kukataa Amani na kukaribisha Ujivuni, maringo na Vurugu Niishie hapo 🐼
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Wanabodi, Baada ya kumsikia rais wetu, Mhe Dr. John Pombe Magufuli, akiangalia Clouds TV, wengi walimpongeza, na baadhi yetu tulifarijika sana, na tukampongeza, Rais Magufuli ni Simple, Genuine...
11 Reactions
184 Replies
26K Views
Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi . Kwahiyo Mimi namuita Super sub. "Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
5 Reactions
12 Replies
690 Views
Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
14 Reactions
69 Replies
6K Views
CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee? Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi ...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Sio kweli hata kidogo kuwa katika uchaguzi wa 2020, Magufuli alipita katika mchakato halali, huru na haki ndani ya CCM. Mwaka 2020 katika CCM, kila kitu kilitegwa, kikabakwa na kunajisiwa. Fomu...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…