Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,770
- 121,823
Wanabodi,
Baada ya kumsikia rais wetu, Mhe Dr. John Pombe Magufuli, akiangalia Clouds TV, wengi walimpongeza, na baadhi yetu tulifarijika sana, na tukampongeza,
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply "A Man of The People!".
ila hatukuishia kumpongeza tuu, bali pia sisi wengine wetu, kuna maswali tulijiuliza, Kama Magufuli Anaangalia Clouds TV na Kuipongeza...na haukupita muda, tuliyapata matokeo ya maswali hayo.
Kwa vile JamiiForums ni chombo huru cha habari, hivyo tuna haki ya kujiuliza, "Hivi rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Magufuli, huwa anasoma mtandao wa JF?!.
Kama anasoma, ujumbe huu utamfikia, lakini kama huwa hausomi, naamini kupitia uzi huu, naomba kutuma ujumbe mahsusi kwa rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Magufuli asome JF na kumsikiliza binti huyu!.
Kuna watu wanadhani kwa vile rais wa nchi ni mtu mkubwa kuliko watu wengine wote kimamlaka ya kiutawala, then wanadhani rais ni not reachable kabisa, na namna ya kuwasiliana na rais hadi akusikie ni mlolongo mrefu, lakini mimi naamini rais wa nchi ni mtumishi wetu, sisi ndio waajiri wake kwa kura zetu, na ni sisi ndio tunaomlipa mshahara wake kwa kodi zetu, hivyo tunamamlaka ya kumtuma jambo lolote ili mradi hatuvunji sheria, na kutumia njia yoyote kumfikishia ujumbe, ikiwemo hii njia ya JF!.
Hivyo kwa heshima na taadhima, Mhe. Rais wetu, Dr. John Pombe Magufuli, Please Msikilize Binti Huyu, Ana Hoja ya Msingi!.
Mimi nimemsikiliza na nikaona ana hoja ya msingi, jee wewe ulipomsikiliza, jee umemuona ana hoja ya msingi?!.
Nimemuomba Rais Magufuli amsikilize binti huyu kwa vile mimi naamini binti huyu sii binti wa kawaida!, ana kitu ndani yake!.
Kwa wale ambao mtapenda kumfahamu huyu binti mtoa hoja, mnaweza kutembelea nyuzi hii.
Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina ?!..
Naomba Kuwasilisha.
Paskali
Paskali ameishaandika mengi mazuri kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Magufuli, lakini kwa vile Paskali hayupo katika list ya wale waimba nyimbo za sifa tuu na mapambio, bali pale anapoona kama mambo yanakwenda ndivyo sivyo, huwa anasema, anapongeza pa kustahili pongezi, na kukosoa pa kustahili kukosolewa ila ukosoaji wake siku zote ni constructive criticism!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM 2015, Ni Dr. John Pombe Magufuli!.
Magufuli Kama Nyerere:Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, ni vitendo
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?!.
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5
Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli...
ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru....
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa ku...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!.