Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,213
9,643
Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga vijijini, mji mdogo wa Laela Jimbo la Kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu Chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma.

Kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCM kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote hadi vya upinzani.

Hakika kikwete alikubalika, alipendwa, alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza, kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano, kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete.

Watu waliona ni kama siku ya kupiga kura inachelelewa sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura Kikwete, hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia. Kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu.

Picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali, tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya taifa, hakika hata mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa hali na mali.

Hatimaye Kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu, lakini kitu alichokifanya Kikwete kilibaki ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya Wafipa na wana laela. Kikwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka.

Halafu akasalimia na kwa upole na tabasamu akasema, "NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI", uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe, nderemo, vifijo, makofi, kelele za kuimba Rais..Rais..Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela. Jamani ilikuwa ni furaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote, watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha, wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan, wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote. Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM, Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura, hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli. Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale. Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM. Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo. Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Asante Sana mh kikwete kwa kunifanya kuipenda siasa na CCM kwa ujumla,Asante kwa kutujengea shule za kata ambazo Mimi Ni mnufaika nazo na nimefaidika na kupata Elimu kupitia juhudi zako ,Asante kwa kunipatia mkopo wa Elimu ya juu ulionisaidia kutimiza Ndoto zangu za kupata Elimu ya juu licha ya kuwa nimetoka familia masikini,Asante kwa kulitumikia Taifa letu kwa uzalendo mkubwa na kwa demokrasia ya Hali ya juu sana,.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya sumbawanga mji mdogo wa laela Jimbo la kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma,.

Mh kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha Historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCm kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote Hadi vya upinzani,Hakika kikwete alikubalika,alipendwa,alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini,kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza,kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano,kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete,Watu waliona Ni Kama siku ya kupiga kura inachelelewa Sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura kikwete,Hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia,kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu,picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali,Tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya Taifa,Hakika hata Mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa Hali na Mali.

Hatimaye mh kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu,lakini kitu alichokifanya mh kikwete kilibaki Ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya wafipa na Wana laela, Mh kiwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka, halafu akasalimia na kwa upole na Tabasamu akasema NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI,uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe,nderemo,Vifijo,makofi,kelele za kuimba Rais Rais Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela,Jamani ilikuwa Ni fulaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo Cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote,watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha,wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan,wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote,Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM,Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura ,hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli,Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale,Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM,Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo,Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Ni vizur ila unaposema "kila mtu alitaka kumpigia kura mh kikwete" ni kukosa weledi, sema tu asilimia kubwa au asilimia kadhaa

Naomb kuwasilisha kada mtiifu
 
Mh kikwete alikubalika na mamillion ya watanzania ,na ndio kiongozi mgombea pekee kutoka CCM aliye pata kura nyingi Sana kupita mwingine yeyote katika awamu ya kwanza Tangia mfumo wa vyama vingi uasisiwe hapa nchini
 
Bangi mbaya sana. Mimi nilifikili umeipenda ccm kwa sera zake nzuri, kumbe umeipenda ccm kwa sababu umempenda kikwete kwa kitendo chake cha kukaa naye juani! Huyu kikwete aliendelea kukaa juani baada ya kuukwaa urais?? Na bado mpaka sasa mpo naye juani?
 
Bangi mbaya sana. Mimi nilifikili umeipenda ccm kwa sera zake nzuri, kumbe umeipenda ccm kwa sababu umempenda kikwete kwa kitendo chake cha kukaa naye juani. Huyu kikwete aliendelea kukaa juani baada ya kuukwaa urais??
Uwe unasoma na siyo kukurupuka tu kujibu,Hapo juu katika andiko langu nimeeleza hayo yote kuwa Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania vilinivutia kujiunga CCM,Nimeandika mengi Sana ikiwa Ni pamoja na CCM kujiweka karibu ya watanzania,uwe unasoma kabla ya kuandika
 
Kuwa na sera nzuri na utekelezaji wa hizo sera ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo usiwe na wasiwasi kwa kitendo chako cha kuweka namba yako ya simu tumeshakuelewa. Bongo maisha ni magumu sana
 
Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya sumbawanga mji mdogo wa laela Jimbo la kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma,.

Mh kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha Historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCm kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote Hadi vya upinzani,Hakika kikwete alikubalika,alipendwa,alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini,kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza,kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano,kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete,Watu waliona Ni Kama siku ya kupiga kura inachelelewa Sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura kikwete,Hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia,kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu,picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali,Tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya Taifa,Hakika hata Mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa Hali na Mali.

Hatimaye mh kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu,lakini kitu alichokifanya mh kikwete kilibaki Ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya wafipa na Wana laela, Mh kiwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka, halafu akasalimia na kwa upole na Tabasamu akasema NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI,uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe,nderemo,Vifijo,makofi,kelele za kuimba Rais Rais Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela,Jamani ilikuwa Ni fulaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo Cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote,watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha,wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan,wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote,Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM,Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura ,hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli,Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale,Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM,Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo,Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Asante Sana mh kikwete kwa kunifanya kuipenda siasa na CCM kwa ujumla,Asante kwa kutujengea shule za kata ambazo Mimi Ni mnufaika nazo na nimefaidika na kupata Elimu kupitia juhudi zako ,Asante kwa kunipatia mkopo wa Elimu ya juu ulionisaidia kutimiza Ndoto zangu za kupata Elimu ya juu licha ya kuwa nimetoka familia masikini,Asante kwa kulitumikia Taifa letu kwa uzalendo mkubwa na kwa demokrasia ya Hali ya juu sana,.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Siasa za Tanzania watu wengi wanaangalia personalities tu.

Sijaona maelezo ya sera alizotekeleza Kikwete, uchumi, siasa.

Watu wanaridhika na gestures tu.
 
Hukuona mchango kazi na juhudi za mh kikwete katika Elimu? Afya? Kilimo? Miundombinu? Demokrasia? Uchumi? N.k
 
Kisa cha kuweka namba ya simu bila shaka ni kusaka koneksheni , Uteuzi mtamu bhana ! we si unaona kafulila anavyohangaika huko na kule ?
Mimi Ni mzalendo na nipo ndani ya CCM nikiitetea na kuisemea kwa moyo wangu wote kwa miaka mingi na Kama ingekuwa natafuta vyeo na Teuzi Basi ningekuwa nimakata Tamaa na kuacha kazi hii,lakini nafanya haya kwa kusukumwa na uzalendo uliondani yangu juu ya chama changu Cha ccm na serikali yangu ya CCM pamoja na Taifa langu la Tanzania
 
Back
Top Bottom