Ukisema Bashe amevuruga Uchaguzi hiyo haieleweki.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,913
Reaction score
6,523
CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee?
Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi .
Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache kujifaragua.
 
Wavumiliwe kidogo Tena 😀,uku wamekaa Kwenye ofc za wazawa na wazawa wanazurura mtaani .

Tuoneane huruma jmn
 
Bashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
 
Ponjoro Types
 
CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee?
Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi .
Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache kujifaragua.
Umerudi tena,ila hujatupa mrejesho wa yule jamaa wa Mbezi🤣🤣🤣
 
Rostam alinusa upepo makelele yalivykuwa mengi akaamua kuacha kujikita kwenye biashara
 
Bashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
Dunia imebadilika sana.
Hadi watu weusi wanangoza Marekani.
Waziri wa mambo ya nje Uingereza ni Mnyaturu.

Sembuse Bongo?
Ubaguzi wa rangi tuuache, ikiwa mtu ni mzaliwa wa Tanzania ana hski kuchaguliwa
 
CCM wametuharibia sana nchi. Inakuwaje majimbo mkoani Morogoro, Shinyanga na Simiyu kuwakilishwa na maponjoro?
 
CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee?
Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi .
Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache kujifaragua.
Nyie wasenge acheni ubaguzi na kuchafua watu, huo upuuzi hautawasaidia. Bashe ni nani mpk aharibu uchaguzi? Acheni upumbavu, Bashe ni kijana mwerevu, amekulia CCM, anaijua CCM in and out, ni mtiifu kwa chama chake atakuwa wa mwisho kuharibu jambo lolote ndani ya chama. Acheni siasa za kushamba hazitawafikisha popote.
 
Bashe, Rage, Hersi, Abood, Tarimba na ponjoro wengine hawastahili kushika nyadhifa za maamuzi serikalini. Wabaki kwenye private sector kama wawekezaji wazawa
We ngedere pori unajua asili ya hao mababu zako mafukara? Nyie makaburu weusi na hizo roho za husda hazitawasaidia. Babu wa Taifa letu alipiga vita huo upuuzi, kijana wa 2000 umezaja vinyesi kwenye ubongo eti wazawa! Shame on you all stupid and hopeless creatures. Oktoba tunatiki
 
Dunia imebadilika sana.
Hadi watu weusi wanangoza Marekani.
Waziri wa mambo ya nje Uingereza ni Mnyaturu.

Sembuse Bongo?
Ubaguzi wa rangi tuuache, ikiwa mtu ni mzaliwa wa Tanzania ana hski kuchaguliwa
Kwa Katiba na Sheria za Bongo wageni si wakuwapa madaraka makubwa mtalia

Wenzetu wapo mbali sana Sheria na vyombo vyao vya Dola vipo makini mno
 
Nchi yangu raia wengi sura zao kama sio za nchi hii, watu wamezaa hovyo hovyo na wageni...alafu tunawapa uongozi, tunauza nchi taratibu....mm ningekuwa mshamba wa kwanza kukata majina yao Hawa wote akina shabiby, abood, bashe, ponjoro, wote ilikuwa ni kufweka hata kama wamepata kura nyingi...waishie kwenye biashara tu lakini uongozi serikalini marufuku. Na wakenye wameingia kwa wingi...tunafanana nao sura ila mazungumzo wengi wanagundulika...ilikuwa ni kukata tu, nakuuliza swali naangalia rafudhi ya jibu lako tu....napita nawe😃😃
 
Dunia imebadilika sana.
Hadi watu weusi wanangoza Marekani.
Waziri wa mambo ya nje Uingereza ni Mnyaturu.

Sembuse Bongo?
Ubaguzi wa rangi tuuache, ikiwa mtu ni mzaliwa wa Tanzania ana hski kuchaguliwa
Ila sio huku kwetu kwenye bara lagiza ambalo wengi wao wanafanya kwa maslahi ya familia zao na koo zao
 
Back
Top Bottom