Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi...
2 Reactions
9 Replies
485 Views
Watawala hawawezi jitenga na utekwaji,na walio fanyiwa Kaka na Dada kutoka Kenya na Uganda Mauaji ya Mzee kibao Utekwaji wa yule mchungaji wa Arusha aliyekuja kutupwa Sanya Juu Kutekwa na...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto...
76 Reactions
145 Replies
21K Views
Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1 angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa...
20 Reactions
138 Replies
5K Views
ANAITWA Daudi Issa Masasi. Ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha upinzani cha ADC akitaja vipaumbele 10 vyake endapo atapata ridhaa ya chama chake na wapiga...
1 Reactions
1 Replies
248 Views
Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu...
0 Reactions
3 Replies
407 Views
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake. 1. Anagombea Urais Chaumma 2. Atapewa...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku... 2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..? 3. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa 1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa 2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo...
0 Reactions
8 Replies
430 Views
Chadema Katiba imefuatwa Mbowe kanuna na kikundi kutokea Kaskazini wamehamia Chaumma Huku CCM nako yule Polepole anadai Katiba haijafuatwa Vurugu kila kona Hivi Siasa za Tanzania zimesimamia...
1 Reactions
7 Replies
388 Views
Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
Kesi inaendelea mahakani... Mzee wa kanisa anajitokeza anaongea mengiiii anawapoteza na mnamuamini kisha anapotea ghafla. Anaibuka balozi mtu ambae amezungukwa na hao watu Kwa Kila analofanya...
2 Reactions
7 Replies
376 Views
GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama...
2 Reactions
6 Replies
417 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua...
1 Reactions
12 Replies
743 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mara Baada ya Kuingia Madarakani Rais wetu Mpendwa aliikuta Nchi ikiwa na mgawanyiko mkubwa sana na kukiwa hakuna Umoja wa kitaifa kutokana na chuki za kisiasa kumomonyoa...
5 Reactions
288 Replies
10K Views
Historia huwa haidanganyi. Insha Allah Tunamuombea atoke salama kwa jina la Mwenyezi Mungu, Allakhuakbar. Mh Tundu Lissu amepigana vita vingi. Hakuna kitakachomzuia kuwa Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
8 Replies
479 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…