Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Zenu Wadau, Niende kwenye Mada Kwa ufupi, Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika...
7 Reactions
15 Replies
748 Views
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa. Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
4 Reactions
15 Replies
623 Views
Inawezekana kabisa wale waliomualika walilenga "mambo mengine" lakini sasa jambo hilo limegeuka kuwa la moto na limebabua Dira yenyewe. Ni kweli kwamba Mbowe anajadiliwa kwa Negative na Positive...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na...
21 Reactions
292 Replies
42K Views
Kibongo bongo yeyote anaejiuzulu apewe maua yake. Humphrey Polepole ni one in a million. Nimeona kuna watu wanahoji Polepole kwanini hakufanya wakati wa JPM? kama tatizo ni ukiukaji wa haki za...
5 Reactions
4 Replies
610 Views
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection . Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up ! Botswana wana Dira ya Miaka 25 . Mambo makubwa...
3 Reactions
11 Replies
606 Views
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?
5 Reactions
45 Replies
8K Views
Hawa jamaa (CCM) rushwa iko kwenye damu zao. Hii rushwa ya ndani ya chama chao ni tone kwenye ziwa Victoria.... Kwenye ushindani na vyama vingine, huko wanapora na kuiba kila kitu, wanateka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Msajili wa vyama vya siasa ina maana CHADEMA wamegoma agizo lako kuitisha baraza kuu wachague viongozi wa kamati kuu? Uliagiza hawajatekeleza wamedharau hujui hatua ya kuwachukulia au?
1 Reactions
13 Replies
764 Views
"Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na...
1 Reactions
14 Replies
648 Views
Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana...
3 Reactions
5 Replies
487 Views
Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete...
16 Reactions
108 Replies
7K Views
Huu ndio ukweli mchungu CCM hawajui walitendalo! Wanasahau Mbowe kashindwa uchaguzi na anaonekana kuwa na kinyongo. Wanasahau wazungu wanafika mahakama kufuatilia kesi ya Lissu na huyo Mbowe...
5 Reactions
13 Replies
660 Views
Kuna watu waliuwawa na kutekwa na Lissu yupo gerezani na chama chake kimezuiwa kwa fitina badala ya kutazama haya na kukemea yeye tunamuona tu anacheka cheka kwenye mikatano anasahau damu zilizo...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Mwandishi Maalum MWISHO wa utawala unaodaiwa kuwa wa ‘kisultani’ ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umefikia kikomo ambapo Freeman Mbowe amekubali kuachia wadhifa wa uenyekiti...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu...
0 Reactions
13 Replies
611 Views
Katika ukurasa wa Marai Sarungi kwenye mtandao wa X, kuna tangazo kwenye gazeti la serikali ambalo ni tangazo la tarehe 11/07/2025 likiwa ni tangazo la serikali kuhusu kanuni za kulinda...
4 Reactions
3 Replies
760 Views
Asalam aleykum waislam wenzangu. Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif. Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu...
-1 Reactions
160 Replies
4K Views
Back
Top Bottom