TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za...
Wanabodi,
Declaration of Interest, japo mimi Paskali, ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity...
Jana ndio rasmi ilikuwa Siku ya ushuhuda wa Chadema kuachwa kama Chama Huru na halisi cha Upinzani
Kwa kawaida katika Ulimwengu wa roho mwaka wa 33 huwa ndio mwaka wa ukombozi
Kwa maana hiyo...
Hamna Jipya chini ya Jua.
Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli.
Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na...
Polepole ni akili kubwa, anazidi kuwapiga chenga ya mwili.
Ebu tusubiri tuone, naona wazee wa kutumia nguvu bila akili mnamuwinda Polepole kama Simba mwenye njaa akiwinda porini.
Mnapiga kelele hovyo na kupaza sauti kutetea uovu kisa tu mnapata posho.
Kila kukicha mnashadadia mambo ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu. Mnaona kifo cha watu kama mzee kibao ni kama panzi...
Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata...
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini .
Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti...
Habari za Ijumaa!
Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili.
Sisi hatunaga cha mzazi.
Hatunaga cha Mke/mume
Hakunaga cha Mtoto
Hatunaga cha Sijui Boss, sijui...
Kimsingi, Askofu Gwajima anachochea majeshi yafanye uasi, na yaache kutii viapo vyao. Nampa ushauri kwamba ajichunge sana na kauli zake, yeye ni mtu mmoja tu, hawezi kuteketeza maisha ya watu...
Wakuu!
Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya...
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua...
Hamjambo!
Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.
Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya...
Wakati CCM ilikuwa ilikuwa imeshashikwa pabaya kiasi cha kunyimwa msaada wa dola mil 8 kutoka EU kwa kigezo cha CCM kufinya uhuru wa vyama vya upinzani CCM wajiongeza kwa kumualika Mwenyekiti...
Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia...
Mapema baada ya uhuru mwaka 1961, Tanzania imekuwa ikiimba wimbo wa kujitegemea kiuchumi na kudumisha ujamaa.
Falsa na sera ya kujitegemea ilipamba moto zaidi baada ya kutangazwa kwa Azimio La...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.