Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Asalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.