Kupitia kesi ya Lisu CHADEMA wamepata nafasi sahihi kabisa ya kueleza mateso Yao,kudai haki za wananchi,kupelela hoja zao za msingi kabisa Kwa MAHAKAMA na Dunia nzima.
Kupitia kesi hii ya...
"Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa...
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Tanzania kabla ya...
X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.
Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa...
Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande...
Latra imesema mabadiliko ya nauli yanalenga kuendana na hali halisi ya gharama za uendeshaji wa huduma za usafiri.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango...
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wote mliopaza sauti baada ya kukamatwa kwangu. Nimetumia siku mbili kumshukuru Mungu, kutafakari na kupitia maoni mbalimbali mtandaoni. Kwa kweli sina la...
Anaitwa Aboud Jumbe. Yeye ni Rais wa zamani wa Zanzibar. Ndiye aliyekuwa Makamu wa Rais Nyerere kwa kipindi kirefu yaani miaka 12 wakati Karume alikuwa makamu kwa mia minane tu.
Aboud Jumbe...
Great Thinkers nimekitazama hiki kitabu kule JF library sijakiona
je kuna mwenye nakala atuwekee?
Kuna mazito mengi sana yamemwagwa na Mzee Jumbe mle
Na hapa JF ni kisima cha wachambuzi naamini...
Angekuwa ni kiongozi mwenye aibu asingekuwa anatoa hotuba za kujionyesha kama mkuu wa nchi anayekubalika.
Watumishi wa umma maofisini hawampendi na hawamtamki vizuri
Chama kinachokubalika ni...
My Take
Tanzania inaendelea kuwa mwalimu wa kuonesha njia.
Ikumbukwe Rais Samia alitoaga agizo Hilo mwaka Jana na kufuatiwa na utekelezaji kama ambavyo Waziri wa biashara wa wakati ule Suleiman...
Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais.
Kwangu ni furaha...
Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu.
Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza...
Hamjambo!
Tunajua! Ninajua!
Kwamba kuna wakati mtu utalaumiwa. Utakejeliwa. Watakurushia maneno.
Ikitokea unalaumiwa basi hakikisha ni kwa sababu unaingiza mountain mrefu sana. Kwamba unajenga...
KATIKA Kile kinachoonekana Propaganda, Huyu Wakili kilaza wa Serikali, hakutoa Hilo Ulizo kwa Bahati mbaya !.
Ulizo lake, Lengo lake lilijikita kwenye KUAMINISHA UMMA WA WATANZANIA, KUA FEDHA ZA...
Sawa hatujawachagua mkajiweka wenyewe kwenye hivyo viti, unajua mwenye akili hata anajibaraguza walau kufanya mambo vizuri ili apate kukubalika hata kidogo, ila wapuuzi ndo kwaaanzaaa wanatutibua...