Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,844
- 19,527
X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu.
Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa Magufuli ukitikisika alikosoa
Siku Magufuli anamtumbua January Makamba kwenye uwaziri wa muungano na mazingira aliibuka Zito Kabwe na andiko refu kwenye mitandao ya kijamii akiita kitendo hicho ni udikteta usiokubalika mbele ya macho ya Mungu.
Mara paap akaapishwa Rais Samia akamtumbua spika wa bunge ambaye ni muhimili unaojitegemea lakini Zito Kabwe kimya,
Rais Samia akamtumbua January Makamba lakini Zito Kabwe kimya!
Rais Samia ametumbua hadi makamu wa Rais Dk Nchimbi ambaye ni the second strongest man in the country lakini Zito Kabwe yupo kimyaaa!
Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere umenifundisha kwamba si kila ushauri unaotoka kwa msomi ni wa kusikiliza hata kama huyo msomi ni profesa, kabla hujasikiliza ushauri wake muulize kwanza amesomea nini?
Ujenzi wa bwawa hili ulipingwa na wasomi, hamna darasa la saba hata mmoja aliyepinga mradi huu.
Wasomi kama Prof Muhongo, Nape, Zito Kabwe walipinga kwa kuandaa pepa ndefu na tafiti mbalimbali kuonyesha mradi haufai kabisa na utasababisha uchumi wa mikoa ya kusini kusinyaa!
Sasa hivi mradi umekamilika wamekaa kimya bila kutuonyesha hayo madhara.
Wewe Prof Muhongo na Nape tunawauliza uchumi wa mikoa ya kusini umesinyaa sababu ya bwawa la umeme?
Vipi kama Magufuli angefuata ushauri wa wasomi hawa?