PARTNERSHIP by Al Hajj Aboud Jumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PARTNERSHIP by Al Hajj Aboud Jumbe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zanzibar huru, May 31, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Great Thinkers nimekitazama hiki kitabu kule JF library sijakiona

  je kuna mwenye nakala atuwekee?

  Kuna mazito mengi sana yamemwagwa na Mzee Jumbe mle

  Na hapa JF ni kisima cha wachambuzi naamini kutakuwa na mengi sana ya msingi ambayo tunaweza kuyaweka wazi bila woga
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  wale wale...na break news za intellectual wa kibongo...wapotoshaji wa historia, trouble from before the freedom up until today. ...walewale wanaomini waarabu- ndio wa kwanza kufika Zanzibar kabla ya mbantu. halafu then wanasema tarehe za baada ya uislam.Huku wanasahau kuwa wabantu na watu wa masahriki ya kati, mashariki ya mbali etc walikuwa wanapiga business kabla ya Ukristu.

  Hawa waandishi wote wa vitabu hovyo na vinavyokuzwa kwa kupewa kwanza sifa kubwa halafu ,wanajifanya huru halafu wanaleta upup ulifungwa ktk package ya dini na race(Arabism), hawan akaziingine zaidi ya hii.Kupambana na historia ya Nchi hii, ili iwe ya uongo halafu..tuanze mabiwa umasikini unaozunguka mabaki ya Arab cities ,i wa kunyanyaswa nakubaguliwa ktk historia ya nchi.And then kutaka mlet amuarabu km shujaa, ili tuanze kaa madukani, tukibebeshwa vitu, tukae misikitini tukifagia na kupewa makombo ya tumboni, ..tukiwa enslaved kwa gear ya kuwa tumekombolewa na muarabu toka ktk shida(in reality aliyoiunda yeye).

  Fro for me kuna a good number of intellectuals wametumia mgongo wa cold war, na kupinga ubeberu kupandiza uongo ktk historia ya nchi hii, kuingiza misingi ya dini, kumsasifa Muarabu na Arabism.Na hawa wapuuzi wanaojiita wasomi, wanakula kuku halafu wanaandika ujinga, wanatumia hela za walipa kodi kutuwekea propaganda zao na za mabwana zao walio na walio na elimu duni kuliko wao.
   
 3. z

  zanzibar huru Senior Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  NON THINKERS hawana habari
   
 4. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mipovu ya nini? kiwekwe ili tusikie upande wa pili nao unasemaje!
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Naona umetolewa ubongo ukaamua kuwa.matusi na vitisho. Nikiweke cha nini,wakati aliyeleta mda ndio anasema kuna mazito mengi.Kakojeo ulale propaganda si issue.
   
 6. c

  calmdowndear JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2016
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Inna lillahi wa Inna Illayhi Rajiun
   
Loading...