Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za saa hizi wanaJF, poleni kwa majukumu. Kuna jambo moja ambalo kwa uhalisia wake limenifedhehesha sana. Mimi binafsi na wenzangu ni mhudhuriaji mkubwa wa mikutano ya kisiasa, hivyo...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
CCM WANAORODHESHA VITU BADALA YA KUTUPA MIPANGO. Mwenyekiti wa CCM ambae pia ndie mgombea urais wa Chama hicho pamoja na timu yake wameanza kampeni zao pale Dodoma na kwenye vyombo vya habari vya...
2 Reactions
0 Replies
783 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM. Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa, ni rasmi sasa chama cha NCCR-Mageuzi kimejipanga kufanya uzinduzi mkubwa wa kampeni zake za uchaguzi Septemba 05, 2020 kwenye viwanja vya Zhakeim, Mbagala Jijini Dar...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakumbuka wakati wa kutafuta wadhamini chama cha demokrasia na maendeleo kilikuwa kikitafuta wadhamini wake kwa uwazi na mikutano ya hadhara japo hawakupewa air time na vyombo vya habari lakini...
0 Reactions
7 Replies
767 Views
Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa Watuambie wananchi wa kipato cha chini...
1 Reactions
5 Replies
944 Views
Natoa ushauri kwa kuwa siipendi CCM na Mimi Sina chama ila napenda haki kwani haki huinua taifa. CHADEMA kufanya uzinduzi sehemu tatu kwa siku tatu sehemu moja inachosha. Watu waliokuepo leo...
12 Reactions
103 Replies
7K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kampeni za vyama hivi viwili ili kujua nini hasa sera zao. Nini hasa watakwenda kutufanyia Watanzania katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Ni kwa namna gani...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inaendelea kushughulikia rufani na pingamizi ziliyowekewa na wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa. Mkurugenzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali...
28 Reactions
105 Replies
9K Views
Viwanja vya Mabatini, Nyamagana, Mwanza uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge jimbo la Nyamagana @JPambalu leo. Wananchi wanasema wanakwenda na dogo janja. #nohatenofear ✌ https://t.co/etl8bWJny2
7 Reactions
30 Replies
4K Views
WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA. Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi. Tukijaribu kwa kina kutafakari njama kuu ya kuengua wagombea wa ubunge wa majimbo yaliyo mengi ni moja ya mkakati wa kuhakikisha unalenga kupunguza idadi ya kura atakazo pata Tundu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasema itakuwa ni ushujaa na kutanguliza maslahi ya taifa, itakuwa ni njia pekee sahihi na muafaka ya kuonesha kutokubaliana na uchaguzi huu batili uliojaa hila, fitina na nia ovu. Kama tume...
29 Reactions
125 Replies
9K Views
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Yapo aliyoyafanya ambayo ukitizama kwa juu juu utadhani kuwa Yana manufaa kwa watanzania lakini kwa msingi wake ndo yamechangia kudidimiza maisha ya wananchi. 1: Utitiri wa Kodi kwa mtizamo wa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo...
40 Reactions
223 Replies
26K Views
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja...
48 Reactions
507 Replies
50K Views
Kwanza poleni sana watia nia watumishi kwa kukosa mishahara miezi miwili mfululizo Nimesikia mmepigiwa simu kutoka bank tofauti tofauti kurejesha marejesho ya mikopo yenu personaly bila kujali...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom