Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti
Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
By Beldina Nyakeke
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi...
Kuna nini cha kushangalia kukatwa kwa wagombea ubunge wa CCM na kamati za wilaya au mikoa ?
Hawa watu inawezekana wakaonekana wamepoteza sana lakini kumbuka hawa wengine watateuliwa nafasi za...
Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na...
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao...
Uongozi wa Dayosisi ya Mwanga KKKT umemshukuru Rais Samia kwa mchango wa Serikali wa kutoa viti 2500 na mahema kwa ajili ya Ibada ya kumsimika Askofu mteule wa Dayosisi hiyo Dr Mono
Source Upendo...
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani.
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia...
Nilisema hapa kwa kurudia rudia kwamba kamwe Mchungaji Msigwa hawezi kushinda Ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya CCM lakini hakunisikia
Navalonge swela 😂✔️
Wakuu,
Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X:
---------------------------
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji...
HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa.
Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.