Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Chama cha ACT–Wazalendo kinazindua Ilani yake ya mwaka 2020 katika Hoteli ya Protea Courtyard. Pamoja na mambo mengine Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na...
6 Reactions
134 Replies
17K Views
Na Elius Ndabila Leo chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Mh ZITTO KABWE wamezindua ilani yao ya uchaguzi baada ya makubaliano yao ya kuungana dhidi ya CCM kugonga Mwamba. Katika hafla hiyo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona wingi wa ahadi kutoka kwa wagombea watafanya hili na lile lakini wanasahau kutuambia njia watakozotumia kutukamua kupata hizo fedha za kuyafanya hayo wanayotuahidi. Nilikuwa nafikiri ni...
0 Reactions
7 Replies
841 Views
Leo ACT-Wazalendo wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Graduates, Kama kungekuwa na sera nzuri basi mngekuwa na ajira ila sera za sasa ni za Kimasifa kununua ndege, mara kujenga madaraja makubwa sehemu ambayo haina return kubwa. Vijana mko mtaaani...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi jana katika uwanja wa Jamuhuri, Magufuli alifurahishwa sana jinsi watu walivyojaa ndani na nje ya uwanja hivyo kuahidi kujenga uwanja mwingine mkubwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Jaribio la kwanza ni kuwaengua wapinzani kwa visingizio vya mapingamizi yasiyokuwa mbele wala mkia ili kujihakikishia Idadi ya wabunge wanaosubiri kuapishwa baada ya Uchaguzi hapo October. Hiii...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili...
52 Reactions
759 Replies
122K Views
Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa...
4 Reactions
1 Replies
914 Views
Uchaguzi wa mwaka huu sioni kama mgombea wa CCM anahitaji au kuonesha nia ya dhati ya kufanya kampeni za kuomba kibarua cha kulisha familia yake kwa miaka mitano tena. Ninachokiona naona mgombea...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadem ndg.Tundu A.Lisu anahitaji kuiachilia nafsi yake kwa kusamehe mabaya yaliyomkuta miaka mitatu iliyopita.Kuyaongelea kila mahali ampatapo wa kumsimulia,hasa...
4 Reactions
96 Replies
7K Views
Habari Tanzania Nakuomba ewe mpiga kura ambaye uliyejiandikisha mwaka 2015 baada ya uchaguzi; kutokana na harakati za maisha ulihama eneo lako la kujiandikishia kupiga kura. Mwaka 2019 na 2020...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi, Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale. Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT-...
11 Reactions
87 Replies
5K Views
Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote.
11 Reactions
327 Replies
29K Views
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais. Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu...
13 Reactions
115 Replies
8K Views
Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate...
3 Reactions
10 Replies
952 Views
Najitokeza kuchangia japo kidogo juu ya mgombea wa CCM anayeomba Watanzania tumpe miaka mitano ili aoneshe maajabu. HAYA MAAJABU ALIYOONESHA KWA MIAKA MITANO YANATOSHA! Hata hivyo, Tanzania ni ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom