Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli ni kuwa Adam si msomi aliyebobea kama marehem baba yake ambaye alimu yake ilisheheni kweli kweli kiasi cha kuweza ku command heshma ya juu toka kwa Mwalimu Nyerere na Mzee Ali Hassan...
3 Reactions
478 Replies
55K Views
Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu.......... Watu wa mahakama...
4 Reactions
5 Replies
629 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa...
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Hellow! Bandiko hili litunzwe. Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli. Utafanyika uchaguzi na CHADEMA...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
MRADI WA KUPELEKA UMEME MGODINI STANGOLD. Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa wakati wa kampeni aliarifiwa kuwa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD wana tatizo kubwa la uhaba nishati na...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia. Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
TUSIKILIZE ANALYSIS YA NGURUMO KUHUSU KUJIUZULU KWA POLEPOLE https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Tanzania inakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, huku ikikabiliwa na changamoto kubwa za miundombinu, hasa barabara. Hali hii inatishia maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na inahitaji umakini wa...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Wakuu, Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana. Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka Tunachoka wananchi
6 Reactions
12 Replies
557 Views
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan. Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia...
32 Reactions
83 Replies
8K Views
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu , Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu! Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza...
28 Reactions
40 Replies
2K Views
Swali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi? Katika utawala wa Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao.
2 Reactions
5 Replies
527 Views
Uhuru wa mfumo wa haki ni moja ya kigezo muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile. Ukipima kwenye mzani, mataifa yaliyo na mfumo huru wa haki yameonesha kuwa na maendeleo ya uhakika...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…