Nimemuangalia yule Mwanasheria na Hakimu nimebaki nacheka tu

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,763
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,

Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!

Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
 
Kuwa na kazi havihusiani kuwa na akili kubwa, Lissu amepiga parefu sana pia Wakili wa Serikali namuona kama sheria imemshika haiwezi .
Nchi ilipaswa itumie mtu makini kama TUNDU LISSU , anatufundisha sheria inavyofanya kazi.
 
Na sasa hivi ndiyo wamejaa kila mahali.
 
Kitu chochote ambacho ni Taaluma yako umekisomea halafu akatokea Boss anataka ufanye Kwa anavyotaka yeye,ni lazima kikusumbue tu
Kuna yule mjinga marehemu kwa sasa alikuwa akisema watu wale tangawii na limao na kujifukiza na akajenga banda la kujifukiza muhimbili

MTU Kama yule kilaza ambaye alikuwa na PhD ya kufoji anajifanya Daktari n.k so nakuelewa.
 
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,

Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!

Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Screenshot_2025-07-01-14-48-58-1.png
 
Kuwa na kazi havihusiani kuwa na akili kubwa, Lissu amepiga parefu sana pia Wakili wa Serikali namuona kama sheria imemshika haiwezi .
Nchi ilipaswa itumie mtu makini kama TUNDU LISSU , anatufundisha sheria inavyofanya kazi.
Tatizo la nchi hii sababu ya political differences , vipaji kama akina tundulissu wanaoigwa vita sana
 
Wazo langu Jaji mkuu alipaswa achaguliwe na TLS, na siyo Rais wa nchi hii , watu walipaswa wakae kumchagua msomi ambaye wanaamini anaijua sheria na anaweza kuitendea haki , vivyo hivyo Mahakimu wangechaguliwa na TLS ili kupata Mahakimu wenye uwezo mkubwa na wenye kufanya kazi kwa maamuzi ya Sheria na siyo maamuzi ya mtu fulani .
 
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,

Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!

Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Hii kesi inawadhalilisha sana mawakili uchwara wa serikali na mahakimu vilaza wa CCM
 
Kuna yule mjinga marehemu kwa sasa alikuwa akisema watu wale tangawii na limao na kujifukiza na akajenga banda la kujifukiza muhimbili

MTU Kama yule kilaza ambaye alikuwa na PhD ya kufoji anajifanya Daktari n.k so nakuelewa.
Mkuu, inasikitisha sana,kuona kuna mambo yanaingiliwa na wanasiasa Kwa kutafuta sifa au kukomoana.

Unaweza kumuona mtaalamu hajui kumbe naye anapokea maelekezo nini cha kufanya.
 
Kuwa na kazi havihusiani kuwa na akili kubwa, Lissu amepiga parefu sana pia Wakili wa Serikali namuona kama sheria imemshika haiwezi .
Nchi ilipaswa itumie mtu makini kama TUNDU LISSU , anatufundisha sheria inavyofanya kazi.
Wanajua ilansasa wanajamrishwa cha kufanya wapo off mood bora liende
 
Back
Top Bottom