Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi . Halafu tena katika mgodi...
4 Reactions
11 Replies
196 Views
Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030. Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
13 Reactions
25 Replies
436 Views
Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO...
0 Reactions
13 Replies
91 Views
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua...
1 Reactions
2 Replies
49 Views
  • Featured
LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17...
33 Reactions
63 Replies
2K Views
My Take Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri. https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
1 Reactions
15 Replies
141 Views
Rais Pirc Musar wa Slovenia amepigwa faini ya euro 120 na kulazimika kuliomba radhi taifa kwa kutofunga mkanda wakati msafara wake ulipopata ajali mwishoni mwa mwezi uliopita. Kiongozi huyo wa...
4 Reactions
10 Replies
170 Views
  • Featured
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Watanzania kwa sasa wanaishi katika mazingira ya hofu, tofauti na ilivyokuwa zamani. Amesema wananchi wengi wanaogopa kutekwa, kupotea na kukumbwa...
29 Reactions
114 Replies
1K Views
Ndugu Zangu Watanzania, Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi. Ikumbukwe lissu Alitoa...
8 Reactions
200 Replies
1K Views
Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana. Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh...
5 Reactions
45 Replies
476 Views
== Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na...
1 Reactions
19 Replies
124 Views
Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
7 Reactions
25 Replies
373 Views
Wanajf habari za frustrations za maisha? Kuna habari zisizo za ukweli zinamchafua Rais wa Tanzania kuwa ni dikteta, nitaweka sababu zangu za kwanini magufuli siyo Dikteta, 1.Vijana wengi...
20 Reactions
170 Replies
16K Views
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema...
2 Reactions
9 Replies
144 Views
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo...
0 Reactions
29 Replies
609 Views
CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA. Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM...
10 Reactions
14 Replies
135 Views
Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...
2 Reactions
8 Replies
114 Views
Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na...
26 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…