Video: Kikwete akimpigia chapuo Dkt. Fatma mbele ya Rais Samia

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Januari 08, 2026, Buyu, Zanzibar.
 
Mzee muungwana sana, alijua impact ya comment yake kuwa kazi mbaya so amefanya kurekebisha ... ahsante sana mzee wetu
 
Kajamaa kanajiona kama kamiliki hivi, wakati mwenye mali yake akimuangalia tu huko aliko kwa uchungu mwingi!
 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Januari 08, 2026, Buyu, Zanzibar.
Kweli anampigia chapuo tu. A structural engineer (sio an architect) ndiye hasa anayeweza kutathimini fitness ya foundation!
 
Back
Top Bottom