Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha Mbowe kuungana na CCM kumshughulikia kisiasa Lissu, naamini kabisa haya yote anyopitia Lissu na CHADEMA ni mchoro wa Mbowe moja kwa moja. Wengi...
21 Reactions
55 Replies
2K Views
Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa muujibu wa mwanachama nguli wa CCM Humphrey Polepole, utaratibu wa kumpata mgombea wa nafasi ya urais kwa tkt ya CCM ulikiukwa, mbona huyu msajili wa vyama vya siasa ambaye yuko very active...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!. Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !! Uzembe, Uvivu, Ufisadi ...
5 Reactions
3 Replies
342 Views
Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia...
2 Reactions
0 Replies
188 Views
Kila mmoja wetu anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake, kulindwa na kuhakikishiwa faragha yake. Hapa niseme tuh chini ya Rais Samia Amefanya na anadelea kutekeleza Dira hii ambayo...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera...
4 Reactions
26 Replies
750 Views
Kumbe Serikali inataka hata kwenye kesi ya Bonny Yai na Godlisten Malissa napo kuwe na Mashahidi wa Siri. Mahakama ya Kisutu ilitupilia mbali hoja hiyo ya Mwendesha mashitaka, Serikali imekata...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Friends and our Enemies, Kipindi kile akiwa mwenezi wa JPM pole pole huyu ambae mimi namuona ni popo,msimamo wake ni kuwa lisu ni kibaraka na anatumwa na wazungu waje kuharibu nchi yetu...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais...
19 Reactions
86 Replies
6K Views
Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
0 Reactions
23 Replies
1K Views
HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi! CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo...
2 Reactions
1 Replies
314 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi...
12 Reactions
4 Replies
614 Views
Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Mwaka 1992 ambapo inadaiwa siasa za ushindani zilirejeshwa tena nchini, raia wengi (80%) inasemekana walikuwa wanataka mfumo wa chama kimoja uendelee lakini CCM ikafanya jambo la nadra sana...
7 Reactions
15 Replies
794 Views
Hizi ni aina ya sms nazoipata nyingi sana kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiuliza kwanini siongelei mambo ya siasa ya sasa ya nchini yafuatayo ndo majibu yangu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Fahamu kwamba katika point...
2 Reactions
14 Replies
708 Views
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…