Acha matokeo yaongee inahitaji jasho, machozi na damu na kujitoa mhanga kuleta matokeo na si vinginevyo

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,901
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani

kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate

ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu

Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
 
20210508_221919.jpg
 
Kwa hiyo zile theory za Newton, zote zimegharimu jasho, machozi na damu?

Ina maana Newton alikuwa akilia akiandika hizo theory huku akivuja jasho na damu??

Mhmhhm mhmhmhmh
 
Kabisa. Mfano mzee Magu. Hakuanza kupendwa kipindi akiwa Rais ra hasha! Toka akiwa waziri Jiwe alikuna mioyoni mwa watu wengi na alivyoamua kuwa Rais wengi walimuunga mkono. Jamaa alishatengeneza namna yake ya kuongoza kwamba havumilii uzembe. Leo anakuja anazani anaweza badilisha kirahisi rahisi tu kazi aliyoifanya huyu mwamba?
 
8 Mei 2021 bado tunajitambulisha kwa majirani kuwa sisi ni "WAPANGAJI WAPYA!"....ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya 6, akaona kila alichoumba ni chema machoni pale......"
 
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani

kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate

ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu

Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
Mataga unaweweseka kweli kweli. Pata maji upunguze hasira.
Screenshot_20210408-213742.jpg
 
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani

kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate

ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu

Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
Magufuli alidanganya taifa... eti atcl inapata faida kumbe wizi mtupu..
Screenshot_20210328-145853.jpg
 
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani

kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate

ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu

Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
Mpaka huu mwaka uishe utakuwa umeshapata wendawazimu kwa stress. Mama bado yupo sana
 
Kwa hiyo zile theory za Newton, zote zimegharimu jasho, machozi na damu?

Ina maana Newton alikuwa akilia akiandika hizo theory huku akivuja jasho na damu??

Mhmhhm mhmhmhmh
Theory hizo zimegharimu maisha ya watu wengi nikukumbushe tu gallileo gallilei
 
Back
Top Bottom