Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa...
Dunia nzima hakuna watu wasiri kama chama tawala Tanzania cha CCM wanashika nafasi ya tatu baada ya china na korea kaskazini
Huwezi jua their next move
Nashangaa kuna nyuzi nyingi sana kuhusu Gwajima wakati tulishakubaliana kuwa ufafanuzi alioutoa komredi Lucas Mwashambwa ndo msimamo wa JF kuhusu kauli za Gwajima?! Mods futeni nyuzi zinazojirudia...
Nimeona niweke sawa maana wengi hawajui kwamba Kanisa limejengwa juu ya Petro Mwamba na wala milango ya kuzimu haitalishinda kwa mujibu wa maneno ya Yesu Kristo mwenyewe
Hizi za akina Mzee wa...
Sisi wananchi sasa tuna mtihani mkubwa mbele yetu kuchagua kati ya Gwajimanize na Samianize.
Gwajimanize kimsingi maana yake ni kuwa na utawala bora unaofuata sheria, ni kufichua maovu, ni...
Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona.
Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani.
Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa...
Waliopigania Haki ya Wananchi Wizara hiyo iliwabeba, mfano Lyatonga Mrema, lakini walioamua kuwatosa wananchi na kuungana na watekaji na wauaji wizara hiyo iliwabwaga na wakaangukia Pua, hapa yupo...
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.
Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu...
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la UYOLE kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.
**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?
Kwanini Magufuli hatoi somo?
Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?
Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?
Hivi...
Ni dhahiri hakuna uhuru unaotakiwa kwasasa sio wa kisiasa, mawazo, kuabudu wala mwingineo wowote!
Ili kuokoa gharama na fedha za walipa kodi hususan ukizingatiwa kuwa nguvu inayotumika kudhibiti...
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile...
Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia...
Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la...
UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE.
Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na...
Waliokuwa wanaibeza CHAUMMA kuna ujumbe wenu hapa. Unaambiwa watu wamejaa uwanja wa Furahisha kama mchanga.
Hakika CHAUMMA sasa ipo tayari kuikabili CCM kiulalo ulalo.
Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.