Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Kutoka Sweden?View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Ukumbi wa online bila shakaUkumbi gani?
overseaUkumbi gani?
Ulijua nini?Nilijua atafanya hivyo au kuhojiwa na media za kimataifa. Nilikuwa nasubiri siku na saa tu yatimie.
Ukumbi wa online bila shaka
kimataifa.Angeweka taarifa yake X tu,
vyombo vya habari siyo huru, karibia vyote ni ma CHAWA wa Mbogamboga