Kanisa ni Bibiarusi, twende nalo kwa makini

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,750
Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila usiguse kanisa, kwa sababu utapambana na mwenye kanisa mwenye ambaye ni Yesu Kristo.

Hii ndio sababu pamoja na watu kuchomwa moto na kuuawa enzi na enzi, Kanisa halijawahi kufa, na halitakufa kwa sababu lipo mioyoni mwa watu. sikuwahi kuishi na kufikiri kuna siku askari anayelipwa mshahara kwa kodi yangu, atavaa magwanda yaliyonunuliwa kwa kodi yangu, na virungu na risasi vilivyonunuliwa kwa kodi yangu, ili azuie watu wasio na silaha WASISALI.

Nashauri serikali itumie busara kubwa sana katika hili kwa sababu kwanza linagawanya watanzania na pili linafanya watu waichukie serikali kupita kiasi na waichukie nchi yao kabisa. WALA MSIPOTEZWE MUDA NA MABOYA NAMWAMPOSA, GEORDEVIE WA ARUSHA na hao mitume wa uongo wanaouza injili mkaamini kwamba mmefikia wakristo wote nchini, hao wote ni wachache sana na ni wahuni wenzenu tu, MTAAIBISHWA NA BWANA MWENYEWE ATAKAPOSHUKA KUJITETEA.
 
Ni hatari kupambana na kile ambacho kimejengwa juu ya damu, machozi, na imani,maana Kanisa siyo jengo bali ni dhamiri hai ya walio tayari kufa kuliko kukana kweli.
 
Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila usiguse kanisa, kwa sababu utapambana na mwenye kanisa mwenye ambaye ni Yesu Kristo.

Hii ndio sababu pamoja na watu kuchomwa moto na kuuawa enzi na enzi, Kanisa halijawahi kufa, na halitakufa kwa sababu lipo mioyoni mwa watu. sikuwahi kuishi na kufikiri kuna siku askari anayelipwa mshahara kwa kodi yangu, atavaa magwanda yaliyonunuliwa kwa kodi yangu, na virungu na risasi vilivyonunuliwa kwa kodi yangu, ili azuie watu wasio na silaha WASISALI.

Nashauri serikali itumie busara kubwa sana katika hili kwa sababu kwanza linagawanya watanzania na pili linafanya watu waichukie serikali kupita kiasi na waichukie nchi yao kabisa. WALA MSIPOTEZWE MUDA NA MABOYA NAMWAMPOSA, GEORDEVIE WA ARUSHA na hao mitume wa uongo wanaouza injili mkaamini kwamba mmefikia wakristo wote nchini, hao wote ni wachache sana na ni wahuni wenzenu tu, MTAAIBISHWA NA BWANA MWENYEWE ATAKAPOSHUKA KUJITETEA

Mungu hazihakiwi. Wanayoyafanya hakika Mungu atawajibu kwa style yake. Wao wanafikiri wanawakomoa mapadre na wachungaji. Lazima uwezo wa Mungu utajidhihirisha tu.
 
Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila usiguse kanisa, kwa sababu utapambana na mwenye kanisa mwenye ambaye ni Yesu Kristo.

Hii ndio sababu pamoja na watu kuchomwa moto na kuuawa enzi na enzi, Kanisa halijawahi kufa, na halitakufa kwa sababu lipo mioyoni mwa watu. sikuwahi kuishi na kufikiri kuna siku askari anayelipwa mshahara kwa kodi yangu, atavaa magwanda yaliyonunuliwa kwa kodi yangu, na virungu na risasi vilivyonunuliwa kwa kodi yangu, ili azuie watu wasio na silaha WASISALI.

Nashauri serikali itumie busara kubwa sana katika hili kwa sababu kwanza linagawanya watanzania na pili linafanya watu waichukie serikali kupita kiasi na waichukie nchi yao kabisa. WALA MSIPOTEZWE MUDA NA MABOYA NAMWAMPOSA, GEORDEVIE WA ARUSHA na hao mitume wa uongo wanaouza injili mkaamini kwamba mmefikia wakristo wote nchini, hao wote ni wachache sana na ni wahuni wenzenu tu, MTAAIBISHWA NA BWANA MWENYEWE ATAKAPOSHUKA KUJITETEA.
View attachment 3404612
Huyu Kwenye Clip ni nani?
 
Mwamposa kutumika kusafisha watu ni kurejesha fadhila hata kama hapendi

Ila bado haepuki mnyororo wa karma atalipa tu muda ni hakimu
 
yeye na maboya na wahuni wenzie wa injili hawajui kama leo kwangu kesho kwako, wanaamini ccm na samia na makonda watabaki madarakani milele. hata jiwe aliamini atakuwepo madarakani hadi 2030 hadi bashiru alipat akiburi cha kusema cheo kile kikubwa kwake ni cha mwisho. kiko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom