Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia...
Mawakili wa serikali wangekuwa wananajua Sheria, serikali isingekuwa inashindwa kwenye mahakama za kimataifa.
Nitajie kesi mbili za kimataifa ambazo mawakili uchwara wa serikali wameshinda na...
Natoa tu angalizo kwa sababu yanayozungumzwa huko Kaskazini Hayana afya kwa Chama chetu
Tusifike kwenye muundo wa ACT wazalendo ambako karibia 95% ya wanachama wanatoka Dini moja au Chadema...
Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo...
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu...
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa...
Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi.
Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda...
Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali.
Hivi Serikali inawezekanaje...
Nabii Denis Asema :Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania
https://youtu.be/-V_qMCCuYFE?si=gVQU5_fSwHiIgutx
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali...
Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela...
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma.
Amesema walipokea takribani majina ya...
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hizi
1. Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema...
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama...
Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱
Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea...
Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau .
Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa...
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe...
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara...
DAR. Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji Leonard Magere, wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi na wametakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.