kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,426
- 7,213
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana.
Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi uwaziri huku ni vilaza wakubwa na wachumia tumbo tu.
Sina haja kuwataja maana wanatajwa kila siku ila mama kwa sababu anazojua mwenyewe anawabeba kwa mbeleko.
Awamu ya tano Magufuli aliweza kuwaleta wasomi wazalendo wengi kwenye kazi za kisiasa na kitaaluma ili taifa liweze kunufaika. Kwamba siasa ni mchezo mchafu inafanya watu wengi weledi kutotaka kugombea nafasi za kisiasa na kubakia kwenye taaluma zao. Matokeo unakuta hawa waliyocheza mchezo wa kisiasa ndio wanaongoza nchi.