Dira ya Tanzania ya 2050 imeandikwa na China?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,425
Reaction score
17,739
Kwamba miaka 25 ijayo ndiyo tutaweza kuwa low middle income country, ndiyo tutaweza kujilisha, yaani miaka 25 ndiyo tuanze kuwa China ilipokuwa miaka ya 70? Mambo mengi hiyo dira yanaweza kutatuliwa ndani ya miaka 5 tu with a good leadership kwanini tusuburi miaka 25 ?

Kwa hiyo mpaka tufike huko ni mwendo wa kumuachia China ale keki yetu huku tukiagiza kila kitu kutoka China na kuneemesha GSM & co. ? kwa maana CCM kila kitu wanaagiza China kuanzia kofia zilizoandikwa CCM, tisheti mpaka baiskeli walizogawa juzi kati wakati kiwanda cha baiskeli kilichotengeneza baiskeli kama hizo hizo kilikuwepo hapa tanzagiza.

Nafikiri hiyo ajenda 2050 ni conspiracy na labda imeandikwa na China ili tuendelee kuwa nyuma na kuwapa China red carpet, kuwaachia uwanja.
 
kwamba miaka 25 ijayo ndiyo tutaweza kuwa low middle income country, ndiyo tutaweza kujilisha, yaani miaka 25 ndiyo tuanze kuwa china ilipokuwa miaka ya 70? mambo mengi hiyo dira yanaweza kutatuliwa ndani ya miaka 5 tu with a good leadership kwa nini tusuburi miaka 25 ?

kwa hiyo mpaka tufike huko ni mwendo wa kumuachia china ale keki yetu huku tukiagiza kila kitu ktk china na kuneemesha gsm &co. ? kwa maana ccm kila kitu wanaagiza china kuanzia kofia zilizoandikwa ccm, t sheti mpaka baiskeli walizogawa juzi kati wakati kiwanda cha baiskeli kilichotengeneza baiskeli kama hizo hizo kilikuwepo hapa tanzagiza.

nafikiri hiyo ajenda 2050 ni conspiracy na labda imeandikwa na china ili tuendelee kuwa nyuma na kuwapa china red carpet, kuwaachia uwanja …
Waliwapa platform wadau kutoa maoni au walisikilizana wenyewe?
 
Tanzania ni low middle Income toka 2014, na sisi kuwa low middle Income sio Dira hii bali iliopita ya wakati wa mkapa ambayo imeisha sasa hivi, Hebu Soma vizuri uelewe.

Dira mpya muhtasari wake huu hapa

Malengo ya Dira mpya ni Gdp per capita dola 4700-8000 hii ni upper middle income sio low
 
kwa hiyo miaka 25 ijayo ndiyo tuwe botswana au hata kenya tu walipo leo ? na wao watakuwa wapi kwamba wao ni stagnant wanatusubiri tufike?

with a good leadership ndani ya miaka 5 tanzagiza inaweza kupunguza >25% ya matatizo yake na after 10 yrs mpaka 50% ya matatizo ya tanzagiza yanaweza kuisha.

hata hao china walifanya 5 years leap plan na siyo sijui 25 huo ni utapeli tu …
 
Kenya sio Upper middle income, ni lower middle income kama sisi. Kila unachoandika unakosea, Hebu fanya research ya unavyo andika,

Na Botswana nchi ambayo Gini coefficient ni karibia mara 2 yetu sio mfano wa kuigwa, kama unataka Bakhresa na Mo wazidi kuwa matajiri na masikini zaidi kuwa masikini it's possible kabisa kuiga Uchumi wa Botswana.

Hio vision ikifanikiwa ni fair, sasa hivi una $1200 ukiwa kufikia mara 4 yake mpaka 7 kwa miaka 25 ni reasonable, hayo unayoongea wewe haya wezi fanyika kwa raia wetu hawa wa simba na Yanga na CCM na Chadema.
 
siyo realistic, unajua kwa nini china na nchi nyingine za asia zilikuwa na 5 year plan?
sasa wewe fikiria mfano ripoti ya cag tangia wamechukuwa power hawajawahi kuishughulikia kwa maana kazi inafanyika ya uchunguzi kupitia cag fedha nyingi zinatumika kutayarisha ripoti halafu hakuna action yoyote, halafu leo hii wanakuja na stori za 2050 i mean, seriously ? utafikaje huko kama hata njia haujaijua bado ? inanikumbusha yule mwingine aliyeulizwa kwa nini nchi yako ni masikini akajibu hata yeye hajui halafu leo wameketi wanakuletea blah bla za mwaka 2050 na unaamini? …
 
Dira ya 2025 ya mkapa imefanikiwa kwa kiasi gani? Kama aliweka mpaka 2025 tuwe ni lower middle Income na 2014 (miaka 11 kabla ya kufika 2025) ikafanikiwa kwanini unahisi ya 2050 haitafanikiwa?

Pia sisi sio China, kuna Nchi karibia 200 duniani na China moja, huwezi tu kucopy nchi fulani imefanya nini ikafanikiwa, wao wapo ukanda mwengine na opportunities zao ni tofauti kabisa na zetu.
.
 
kwa sababu alikuwa ni B.Mkapa, aliweka mpango wa maendeleo na pia road map ya jinsi ya kufikia malengo na ndiyo maana ilifanikiwa, sasa regime ambayo haifanyi chochote kufight against corruption kwenye jamii ambayo corruption ni tatizo sugu wakati kiongozi anwaambia watu wake live na wala siyo conspiracy kwamba wale kwa urefu wa kamba ina maana amehalalisha corruption halafu inakuja kukwambia kwamba 2050 itafanya abc na unaamini, utakuwa ni gullible na unaamini utapeli …
 
Hizi ni Emotion zako tu uchumi hauendeshwi na Emotion na utashi wako. mkapa Anaondoka Gdp per capita hata $500 hazijafika waliomfuatia wakapambana ukafika huo Uchumi.

Sasa hivi
1. Serikali inajitoa mambo mengi hasa kwenye issue za PPP na kuacha logistic ifanywe na private, una mfano nzuri wa bandari hapo, Ongezeko kubwa la makusanyo limetoka hapo.

2. Kuongezeka kwa Value ya Kilimo, Bajeti ya Kilimo imeongezwa mara 5 zaidi toka sijui Bilioni 200 mpaka Trilioni moja na upuuzi tumetoka Toka Trilioni 5 ya contribution ya kilimo hadi Trilioni 11 kwa muda mfupi kwenye value ya Kilimo kwenye Gdp. Tumewapita Nchi zote zinazotuzunguka kama Kenya, Uganda na wengineo, sasa hivi Tunafukuzia South Africa, so Far ni Nchi ya 9 kwa Kilimo Africa. Hivyo ni fair kabisa kuweka kilimo kama Driving factor kwenye dira ya 2050.

3. Kitu chengine kinachoongeza mapato ni Utalii nao unakua kwa kasi sana tumepita majirani wengi na Kenya tuna malizia tuwe no 1 ukanda wetu.

4. Cha mwisho ni Madini kama Dhahabu na mengineyo, sasa hivi mengi yameanza kujuzwa hapa hapa badala ya soko la nje na ku contribute kwa kiasi kikubwa Ongezeko la uchumi.

As long as hayo mambo manne juu yapo na hakutatokea instability yoyote kuya affect then upper middle income itafikiwa sooner kuliko unavyofkiri.

Ukiangalia data za Imf as soon as miaka 10 tunaweza wa fikia Kenya na kuwa Uchumi mkubwa ukanda wetu, growth ya asilimia 6-7 kwa mwaka so sioni why tusifikie hizo targets.

Wakuu mimi nahitaji kitabu cha hiyo dira ya taifa. Mwenye kujua nitakipata wapi anifahamishe wakuu
 
Back
Top Bottom