Je, Katiba ya 1977 inaendana na Dira ya 2050?

Je, Katiba ya 1977 inaendana na Dira ya 2050?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,195
Reaction score
16,868
Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025?

Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050?

Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali?

Je, Katiba yetu inalindaje utekelezaji wa dira 2050. Je kama utakwenda kinyume na dira utafanywa nini na nani?

Nadhani muelekeo wa Taifa uweko kwenye Katiba ili watu wote bila kujali chama ahusike na utekelezaji wake
 
Back
Top Bottom