Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
13 Reactions
48 Replies
3K Views
Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho. Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Assume drafti lilikuwa na kete sita,6+4=10, lakini kete mbili zimepigwa tena,kwanini drafti gumu hivi?,Mwezi wa 10
13 Reactions
148 Replies
8K Views
Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki .. Inasemakana mzee wa kusini ambaye...
-4 Reactions
18 Replies
821 Views
Hili ni swali la kiintelijensia zaidi. Je kuna mtanzania anayeifikiria Tanzania inatakiwa kuwaje miaka 2000 au zaidi ijayo? Je tunayo timu yoyote iliyoundwa na kulipwa kwa kazi moja tu yaani...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni. Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula...
23 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi teule na nchi yenye kuonesha njia kwa Africa na Dunia katika nyanja zote. Wapo maadui wengi dhidi yetu wenye mbinu mbalimbali lakini Tanzania ni babalao...
13 Reactions
87 Replies
9K Views
Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima...
17 Reactions
18 Replies
1K Views
George Michael Uledi! No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama! Kama kweli...
0 Reactions
14 Replies
588 Views
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi. Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya...
1 Reactions
15 Replies
632 Views
Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa. Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji. Je ubalozi...
-1 Reactions
12 Replies
943 Views
Nimeona kuna pengo kubwa sana la kuwa na viongozi makini. Tuna tatizo la msingi la kutokuwa na viongozi waliopigwa msasa wa kuongoza...bado tumeamini katika vipaji zaidi badala ya weledi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…