Ni mtanzania gani anayepanga mikakati ya miaka 2000 ya Tanzania ijayo?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hili ni swali la kiintelijensia zaidi.
Je kuna mtanzania anayeifikiria Tanzania inatakiwa kuwaje miaka 2000 au zaidi ijayo?
Je tunayo timu yoyote iliyoundwa na kulipwa kwa kazi moja tu yaani kufikiria Tanzania ijayo miaka 2000+ dhidi ya dunia hii?
Kuna mkakati wowote wa namna hii?

Nimefikiria hili kwa kuwa nimeona muda unakimbia sana!

wenzetu wametuzidi kwa miongo kadhaa ..je tunafanyaje kuwazidi kwa miaka mingi ijayo?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.

CC: Kiranga
 
Sisi kama watu weusi hatutakuwepo?!by2040 ukimwi utakuwa tuondoa 80%ya Watanzania Na kuna gonjwa jipya limeasisiwa hivi juzi juzi lenyewe haliui ila Limeundwa ili Kuleta Ugumba na halina Dawa wala Chanjo kwa hiyo future is White.
 
Kwani sisi hatuwezi kubuni ugonjwa wa kuwaondoa wanaotaka kutuondoa kwenye uso wa dunia?
 
Jiwe ndo pekee anaweza kupanga mipango ya miaka 2000 ijayo kwani ameweza kujua kwamba Rais atakayemrithi yeye hataweza kutatua changamoto ambazo yeye (Jiwe) atashindwa kuzitatua.
 
Kwani sisi hatuwezi kubuni ugonjwa wa kuwaondoa wanaotaka kutuondoa kwenye uso wa dunia?
Ni haiwezekani tu sisi tumeshazidiwa maarifa, labda Mataifa ya Mashariki ya Mbali sisi we're Done huu muungano wa Afrika au AU ni kijiwe cha kwenda kunywa Whisky na kubamba watoto wa kihabeshi.
 
Ili kufikiria hivyo inabidi viongozi wabadili mentality ya nn maana ya kiongozi. Viongozi wengi wao wanpanga jinsi ya kupiga kupitia cheo chake ili awe tajiri kwa upigaji wa mali za umma. Siku viongozi wakibadili mind set zao basi tutafika kwenye nchi ya ahadi
 
muda ndio huu
 
Yes Musukuma anamipango yoote hadi ya miaka 2000 ijayo na ndiyo maana CCM wanamtegemea Bungeni na nje ya Bunge.
 
Back
Top Bottom