R.I.P John pombe Magufuli shujaa wangu mda wote

R.I.P John pombe Magufuli shujaa wangu mda wote

Joined
Jul 12, 2025
Posts
31
Reaction score
33
Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki ..

Inasemakana mzee wa kusini ambaye tayari alishatangulia mbele za haki ndo alimchagua kuwa mgombea .. kuna kipindi alituita malofa ila sio mbaya sana maana ni kweli..

Kuna yule aliysema wazuri huwa Hawafii alafu kijana wake alikua waziri wa nishati mama akampunguza na wajumbe pia wakamtoa anasubiria huruma ya kamati kuu

Vip yule aliyefia kariuki gafla damu ya Magufuli bado ipo na itawatesa milele
Mama piga Kazi sana achana na presha za mda na hili litapita kura yangu unayo 2025 October
 
Tuendeleee kutambika juu ya makaburi ya babu zetu hapo ndipo tutapata rehem za mungu wetu na wao waliotangulia
 
Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki ..

Inasemakana mzee wa kusini ambaye tayari alishatangulia mbele za haki ndo alimchagua kuwa mgombea .. kuna kipindi alituita malofa ila sio mbaya sana maana ni kweli..

Mama piga Kazi sana achana na presha za mda na hili litapita kura yangu unayo 2025 October
Una tofauti gani na wanaokota makopo barabarani? Au Nenda katibiwe, unamwandikia marehemu ujumbe kupitia JF? JF inasomwa kuzimu?
 
Kwendraaaa....
Yeye ndiye aliyeanzisha mpango wa kuua vyama pinzani.
Kwendraaa
 
Umepiga chenga weee ume FIKA golini ukabutua.fulani kumpa kura yangu inawezekana ILA ajitahidi kuzuia ufisadi JAPO NAYE hulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom