Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

Kete hizo mbili zitapigwa kata funua, silence!
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
 
Sielewi chochote. Sijui kwa kuwa uelewa wangu ni mkubwa? Haya wakuu wazee wa .,....mtusaidie...
Mtiririko wa drafti lako,unajumla ya kete sita hadi sasa lakini kete nne zimeshapigwa,na kete ya mwisho kupigwa ilikuwa ni ya awamu ya pili ya drafti lako,hadi sasa kuna kete mbili tu kwenye drafti lako,je summation ya hizi kete mbili zilizo baki (4+6=10) si sawa na mwezi katika mwaka huu zitakavyopigwa ,inahitaji hekima zaidi
 
Back
Top Bottom