funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,921
Nimeona kuna pengo kubwa sana la kuwa na viongozi makini.
Tuna tatizo la msingi la kutokuwa na viongozi waliopigwa msasa wa kuongoza...bado tumeamini katika vipaji zaidi badala ya weledi.
Hebu angalia kwenye bunge la JMT,bunge maalumu la katiba halafu kampeni za kisiasa ndio utaelewa ninasema nini.
Nashauri iundwe taasisi maalum yenye kulea viongozi toka utotoni.
la sivyo Taifa litaenda kuzama.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA